Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakati dalali wa Mahakama kampuni ya Yono (vijana wa kazi) ikihesabu siku zilizobaki katika 14 (siku za kazi) alizolewa mtukanaji Cyprian Majura Musiba kumlipa fidia Kachero Bernard Membe jumla ya...
68 Reactions
371 Replies
27K Views
Mbunge wa Mtama mh Nape Nnauye anesema Membe alikuwa na mchango mkubwa sana kwenye Jimbo lao Nape anesema Membe alikuwa akimuunganisha na Mabalozi mbalimbali akiwemo wa China ambapo ni rafiki...
0 Reactions
3 Replies
542 Views
Poleni watanzania mlioguswa na msiba huu mzito wa Bernard Kamilius Membe. Ninaangalia live capture ya sherehe ya kumuaga Marehemu Membe hapo Karimjee. Naona kuna itifaki imeandaliwa kwa namna...
16 Reactions
148 Replies
15K Views
Inaumiza kijana wa kitanzani, na mwana wa masikini kutoka mbwinde, unapiga kitabu vizur sana unakomaa kinoma noma alafu unasikia kitu moja unalo lipita elimu eti linakuwa kurugenzi lako. Kama...
0 Reactions
2 Replies
421 Views
Kinafahamika kipaumbele cha Serikali ya Tanzania kilipo. Hivyo ni Kodi, tozo na kulamba asali. Kwamba yatokee magonjwa yenye kuuwa watu? Hapo tegemea neno changamoto tokea za kupumua hadi za...
0 Reactions
5 Replies
522 Views
Amegusa pale ambapowengi kama siyo wote wanapaogopa! Bila kumungunya maneno but highly reserved not to mention names of culprits!
0 Reactions
0 Replies
436 Views
Zitto akosoa wasifu wa Membe kuacha uanachama wake ACT-Wazalendo Kauli yake inakuja baada ya Mwenyekiti wa ACT – Wazalendo Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad kumuidhinisha Tundu Lissu (Chadema)...
0 Reactions
1 Replies
677 Views
Kwa nini tunaendelea kupoteza muda kuwa au kufuatilia mfumo wa kidemokrasia na ushahidi unaonyesha wazi kuwa ni mfumo mbovu usiofaa kitu!!? Critics mmoja alisema kuwa tofauti kubwa ya mfumo wa...
16 Reactions
136 Replies
5K Views
Ndugu zangu watanzania, Kwa hakika kifo ni fumbo na hakuna aijuaye kesho yake. Tukeshe tukiomba kwa Mwenyezi MUNGU kwa maana Ni Mungu pekee mwenye uwezo wa kutulinda na kutupigania. Ni Mungu...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Hata kama mlimchukia Magufuli, lakini haki yake kwa yale mazuri yake Mumpe! Kama Bwawa kwa Mwaka 2021 lilikuwa limefikia 37% ya ujenzi wake (kwa mujibu wa takwimu zako binafsi). Halafu unasema...
2 Reactions
7 Replies
926 Views
Kama viongozi wa Taifa hili hawatosimama leo na kukemea kwa dhati kabisa kuhusu Siasa za chuki zinazoendelea ndani ya CCM yangu basi gharama ya kuweza kuthibiti hali kuelekea mwaka 2025 zinaweza...
9 Reactions
179 Replies
9K Views
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mhe. Victoria Mwanziva akiambatana na kamati ya Usalama, Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya Ludewa, na Mbunge wa Jimbo la Ludewa wameupokea Mwenge wa Uhuru ambao...
0 Reactions
3 Replies
731 Views
Watu wa vijinini hawana uhakika wa huduma za afya na maji ya uhakika. Kati ya watu kumi ni mmoja tu anaweza kuwa na smart phone huko vijjini. Hizi pesa kwa nini zisitumike kwa mambo ya muhimu
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakati Kristo Yesu alipochagua kuingia nyumbani"Sebuleni" mwa Mtoza Ushuru Zakayo hakuna ambaye aliamini na wengi walipigwa na butwaa, imekuwaje Kristo Yesu kaingia kwenye nyumba ya Mtoza...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Nilibahatika kuzalisha nikiwa kidato Cha NNE, ila sio rikziki kapo kakike ila kutoka Moro mpaka kuolewa Zanzibari kwangu nahesabu sio RIZIKI. Nimezunguka kati ya nyumba nzuri hapa Marangu mtoni...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Wote tunajua Zitto Kabwe alimpigia kampeni za Urais Tundu Antipas Lissu mwaka 2020 badala ya mgombea wa ACT Wazalendo mzee Membe. Japo Wassira anasema Tanzania inafanya Siasa za Unafiki lakini...
0 Reactions
0 Replies
594 Views
MHE. MARTHA GWAU MGENI RASMI KWENYE KONGAMANO LA WANAWAKE CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA CAMPUS YA SINGIDA. Mhe. Martha Nehemia Gwau Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Singida amekuwa mgeni Rasmi kwenye...
0 Reactions
0 Replies
597 Views
Ninafuatilia kwenye runinga tukio la kuuaga mwili wa aliyekuwa mtumishi wa serikali na mwanadiplomasia mbobezi ndg Bernard Membe. Ninawiwa kuwaasa viongozi wetu wa serikali, bunge na mahakama...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Mbunge mwenye akili kubwa Jummanne Kishimba amewatolea uvivu Wataalamu uchwara wa Tanzania ambao wanataka kufunga Ziwa Tanganyika na Victoria Kwa visingizio vya Samaki Kupungua. Amesema Samaki...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wazee wa Rondo nyumbani kwao Membe wamesema wanaiomba Serikali iwatengee Muda mchache wa kusema maneno ya kimila yatakayosemwa kwa lugha ya Kimwera kumuaga Chifu wao Mwinyi Membe Wazee wamesema...
11 Reactions
66 Replies
5K Views
Back
Top Bottom