Jummanne Kishimba: Kwanini Ziwa Galilaya Halikufungwa Baada ya Simon na Petro Kukosa Samaki Hadi Serikali Itake Kufunga Ziwa Tanganyika na Victoria?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,784
Mbunge mwenye akili kubwa Jummanne Kishimba amewatolea uvivu Wataalamu uchwara wa Tanzania ambao wanataka kufunga Ziwa Tanganyika na Victoria Kwa visingizio vya Samaki Kupungua.

Amesema Samaki wamepungua Kwa sababu gharama za Uvuvi ziko Juu na kazi ya Uvuvi ni kubahatisha sio uhakika akitolea mfano wa Yesu alipokuta Simon na Petro wamekosa Samaki mbona Ziwa Galilaya Halikufungwa?

Aisha amewataka wanaojiita wataalu wawe wanafikiria kabla ya kukurupuka akistolea mfano wa Wanyama wa kufungwa wanaozaa mtoto mmja na wanyama hawapungui iweje Samaki mmja anaweza mamilioni ya vifaranga Samaki wapungue?

Msikilize hapa 👇
 
Msikilize hapa

Huyu mzee huwa namkubali sana na hana elimu kama hawa waliosoma hadi sijui wapi

Kuna clip 1 hivi bungeni alisema watoto wanasomeshwa ila ukiwaona mambo yao ni kama kuku wa kisasa hata kumtuma mjini unashindwa unahisi atogongwa na gari
 
Mbunge mwenye akili kubwa Jummanne Kishimba amewatolea uvivu Wataalamu uchwara wa Tanzania ambao wanataka kufunga Ziwa Tanganyika na Victoria Kwa visingizio vya Samaki Kupungua.

Amesema Samaki wamepungua Kwa sababu gharama za Uvuvi ziko Juu na kazi ya Uvuvi ni kubahatisha sio uhakika akitolea mfano wa Yesu alipokuta Simon na Petro wamekosa Samaki mbona Ziwa Galilaya Halikufungwa?

Aisha amewataka wanaojiita wataalu wawe wanafikiria kabla ya kukurupuka akistolea mfano wa Wanyama wa kufungwa wanaozaa mtoto mmja na wanyama hawapungui iweje Samaki mmja anaweza mamilioni ya vifaranga Samaki wapungue?

Msikilize hapa 👇

wabunge wengi tu pale mjengoni ukiwaona walichokuzidi sana ni pesa na mavazi tu, ila kichwani hayana akili kabisa hata hayajui yanafanya nini pale. yamejaa uchawi tu kuzuia vijana wenye utaalamu wasiwe wabunge maeneo yao na wao hawawasaidii kabisa wananchi wala taifa.
 
Back
Top Bottom