Waziri Nape: 2020 Membe alikishawishi Chama cha ACT wazalendo kisisimamishe mgombea Ubunge Mtama, nami nikapita bila kupingwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,020
Mbunge wa Mtama mh Nape Nnauye anesema Membe alikuwa na mchango mkubwa sana kwenye Jimbo lao

Nape anesema Membe alikuwa akimuunganisha na Mabalozi mbalimbali akiwemo wa China ambapo ni rafiki zake Ili kupata Misaada kwa ajili ya Jimbo

Pia Membe alikuwa na uwezo wa kuwaunganisha Wanasiasa wa itikadi tofauti na kuwa kitu Kimoja ndio sababu 2020 mh Nape aliungwa mkono na vyama vyote na kupita bila kupingwa

Source: TBC
 
Back
Top Bottom