voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,943
Hata kama mlimchukia Magufuli, lakini haki yake kwa yale mazuri yake Mumpe!
Kama Bwawa kwa Mwaka 2021 lilikuwa limefikia 37% ya ujenzi wake (kwa mujibu wa takwimu zako binafsi).
Halafu unasema umelikimbiza kwa Muda mfupi ulioingia Madarakani kama waziri na limefikia 74%, inakuwaje hizo 26% zilizobaki unaliambia taifa kwamba ni mpaka 2024 /June? Au spidi itapongua sababu utaondoka tena wizarani hivi karibuni?
Je, unasubiri mpaka muingie mikataba yoote yenye 20% nchini.halafu ndio mliruhusu bwawa
kukamilika. Au CCM -samia mnataka kuutumia ufunguzi wa bwawa hilo kwenye kampeni za 2025?
Hata mtoto mdogo hawezi kukuelewa.umefikia mahali unajiona kuwa mjanja kuliko Watanzania woote?
Tunajua kabisa kwamba wewe ndie sababu kubwa ya matatizo yote yaliyoingia Tanesco, baada ya nyinyi kutekeleza uovu wenu. Na hatimae kumsimika huyu Maza wenu. Lakini pia tunajua jinsi ulivyoingia Tanesco na kuvuruga mfumo mzima wa utawala,ukiwaondoa wataalamu wazoefu na wenye ubobevu kwenye fani hiyo.
Sababu ulijua kabisa, uwepo wao ungekuwia vigumu kufanya haya mnayoyafanya sasa wewe na genge lenu.
Na hata kwenye Bwawa umefanya hivyo hivyo,kwa kuwaondoa wataalamu sahihi, na kusimika watu wanaokusikiliza wewe na genge lenu.
Tunajua kwamba unakula 10% - 20% kuanzia kwenye makampuni ya majenereta makubwa yaliyouzwa kwenye taasisi kubwa zote. Na hata huko kwenye taifa Gas unayotumia raslimali za walipa kodi kuinadi. Huku ukiwa afisa masoko wa Rostam na kule wewe ni waziri wa serikali.
Muda ni Mwalimu mzuri sana ndio maana Baba yako alifurahia sana mbele ya Samia. Shame on all of you laiti kama mngejua mnavyojijengea kuchukiwa kwenye jamii ya Watanzania.
Nadhani ungeacha huo mchezo mchafu.
Lakini na nyinyi lenu litatimia siku moja.
"What Goes Around, Also Comes Around!!"
"YOU CAN FOOL THE PEOLE SOME TIME,BUT YOU CAN'T FOOL THEM ALL THE TIME"
-Robert Nesta Marley. (Bob)
Alamsikhi!