Zitto Watanzania hatujasau mlivyomtosa Membe kwenye Urais 2020

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,227
5,950

Zitto akosoa wasifu wa Membe kuacha uanachama wake ACT-Wazalendo​

jamiiforums_119862398_2718360538438166_3300696699418126915_n.jpg


Kauli yake inakuja baada ya Mwenyekiti wa ACT – Wazalendo Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad kumuidhinisha Tundu Lissu (Chadema) kuwa mgombea wao wa urais wa Tanzania

 
Hata kwenye ufunguzi wa kampeni za Membe Lindi sidhani kama alikuwepo Zitto. Zitto bwana huwa anapenda sana kutumia watu kutafuta umaarufu wa kisiasa.

Wakati akiwa chadema alitofautiana na marehemu Regia Mtema. Siku Regia alipopata ajali na kufa Zitto akaandika waraka "namuagaje Regia". Kana kwamba alikuw na ukaribu nae hadi dakika za mwisho.

Hiyo haitoshi alimtumia mwandishi wa habari bwana Kabendera kwa kumpa taarifa mbalimbali. Siku jamaa alipokuwa hatiani Zitto hakuonekana tena. Kuna wakati Kabendera akiwa selo mama yake alilalamika kuwa anakosa hata hela ya panadol. Kina Zitto wakauchuna hadi yule bibi akafa. Zitto akaonekana msibani kwamba ana majonzi khaa!

Zitto atakupa shida usipomjua. Sie wengine tulimjua toka kipindi kile yupo kwenye tume ya madini ya JK.
 
Back
Top Bottom