Kwa sifa alizomwagiwa Membe na Zitto Kabwe ni dhahiri Tundu Lissu kamuacha mbali Membe kwa sababu ndio Chaguo la Zitto 2020!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
Wote tunajua Zitto Kabwe alimpigia kampeni za Urais Tundu Antipas Lissu mwaka 2020 badala ya mgombea wa ACT Wazalendo mzee Membe.

Japo Wassira anasema Tanzania inafanya Siasa za Unafiki lakini mimi naona kwa maelezo ya Zitto kumhusu Membe basi Tundu Lissu yu bora zaidi kwa sababu ndio Chaguo lake la Urais
 
Back
Top Bottom