Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 9 leo Aprili 18, 2023. Serikali yasisitiza wazee wapewe vitambulisho vya huduma ya afya bila malipo Naibu Waziri Ofisi ya Rais -...
3 Reactions
41 Replies
4K Views
Fuatilia yanayojiri Bungeni kwenye Bunge cha 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 8 leo Aprili 17, 2023. SERIKALI YACHUKUA HATUA KUFUNGIA TOVUTI NA MITANDAO YA KIJAMII Akizungumzia hatua zilizochukuliwa...
6 Reactions
84 Replies
8K Views
Habari wakuu,hamjambo? Kumekuwepo na trend ya wakuu wa nchi au wafuasi wao kujitokeza adharani au ktk mitandao yao ya kijamii kuomba kuombewa. Msingi wa swali langu Ni huu, ili kiongozi kufikia...
2 Reactions
54 Replies
2K Views
Nichukue fursa hii kuwapingeza Wazee Wetu Chifu Adam Sapi Mkwawa na mzee Mlawa kwa kutuheshimisha Wanyalukolo katika Uongozi wa mhimili wa bunge Baada ya nyie kustaafu katika nyadhifa zenu...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nauliza tu kwa sababu wengi hawajui kwanini iliilazimu CCM kumsimamisha mwanasayansi kugombea urais wa JMT Ikumbukwe Magufuli hajawahi kushika uongozi wowote ndani ya CCM zaidi ya kuwa moja kwa...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Taifa letu limejaliwa kuwa na wabobezi wengi katika nyanja mbali mbali kama siasa, uchumi n.k. Nikiri kuwa siasa za nchi hii zinawaharibu wataalamu wetu wengi kwa ambao tumebahatika kumfahamu...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Watu watatu Wilayani Kilwa Mkoani Lindi, wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma ya makosa ya kukutwa na meno ya Tembo 90 yanayokadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya shilingi Bilioni Moja. Watuhumiwa...
1 Reactions
7 Replies
911 Views
Binadamu akikosea nguvu za asili za kiume au kike anakosa pia nguvu za asili za kufanya KAZI kwa tija na hivyo uzalishaji kwenye TAIFA ushuka. Tanzania tumekuwa na wananchi wenye changamoto ya...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Yaan unategemea. Mwaka 2020 nijipange folen kuwapigia tena wapuuzi kura yangu ,yaan nitakuwa sifikirii vizuri kama alivyi Ben saanane, au Mtatiro na wengine. Hii CHADEMA imekuwa ya 1. Kutetea...
20 Reactions
229 Replies
19K Views
TAKWIMU mpya za IMF zinaonesha kuwa Pato la Taifa la Tanzania limeongezeka hadi kufikia Dola za Marekani Bilioni 85.42 (Tsh trilioni 200) kwa mwaka huu wa 2023 ikiwa ni ishara kuwa sera za uchumi...
4 Reactions
50 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Felix Tshisekedi, uliowasilishwa na Mjumbe Maalum...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Ni vyema Jeshi la Polisi likampelekea Abdul Nondo na waandamanaji wenzake ambao wanaweza kufika kumi au ishirini, wito wamuhoji nia yake, na kisha wamuelekeze kwamba, kiusalama, ni vyema...
5 Reactions
64 Replies
4K Views
Hii nchi imefika mahali ambapo hata wajinga wanatucheka. Hii mipango ya hao wanaoitwa Chawa wakishirikiana na Wanaccm waliopachikwa kwenye kitengo muhimu cha Nchi sasa inatudhalilisha. Hakuna...
14 Reactions
67 Replies
5K Views
Habari zenu great thinkers popote mlipo, nitafurahi kama nitafurahi kama nyote ni wazima. Nikija katika hoja moja kwa moja. Katika mtandao wa kijamii wa Twitter kumeibuka kundi la wanamtandao...
1 Reactions
5 Replies
594 Views
Katika majukwaa ya kisiasa Tanzania wiki hii pengine picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Mama Janeth Magufuli wakati wakitoka kwenye...
14 Reactions
92 Replies
9K Views
Juzi nimeambiwa habari za kushtusha na inabidi nizitoe kwa serikali yetu. Inasemekana kuna Mtanzania ambaye anakaa Kenya mpakani na Tanzania kwa upande huu wa Mkoa wa Mara. Huyu Mzee kazi yake...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Maisha ya mwafrika kama ambavyo yalivyo maisha ya jamii nyingine duniani yamepitia zama mbalimbali muhimu. Kuanzia zama za chini kabisa za maendeleo mpaka hii ya leo aliyomo, hizo zote ni muhimu...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
1. Rais wa nchi anasema wale wote waliohusika na matumizi mabaya ya fedha za umma walioguswa na na ripoti ya CAG lazima washughulikiwe. 2. Makamu wa Rais wa nchi naye anasema wale wote waliopiga...
18 Reactions
31 Replies
2K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama akifurahia jambo na Mama Janeth Magufuli mjane wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe...
9 Reactions
75 Replies
7K Views
Kwenye mitandao ya kijamii miongoni mwa mashirika yaliyotajwa kujiendesha Kwa Hasara ni shirika la TTCL mpaka imefika hatua inashauliwa yakuwa lianchane na biashara ya kuuza line libakie kusimamia...
17 Reactions
67 Replies
6K Views
Back
Top Bottom