Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mapema asubuhi ya leo kada mwengine wa CCM ndugu Pereira Ame Silima amejitokeza katika ofisi kuu za Chama cha Mapinduzi Kisiwandui na kuchukua fomu Idadi ya wagombea wa kuteuliwa kugombea urais...
3 Reactions
9 Replies
5K Views
Kigoma ni kati ya mikoa iliyokua inasifika kwa ubovu wa barabara na hakukua na maendeleo yeyote ni kama ulisahaulika lakini Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani amefanikiwa kupeleka miradi...
0 Reactions
2 Replies
699 Views
“If to correct you must humiliate; you don't know how to teach.” An old man meets a young man who asks: “Do you remember me?” And the old man says no. Then the young man tells him he was his...
5 Reactions
3 Replies
775 Views
Nimesikiliza wimbo wa Roma Mkatoliki, napenda ila Chorus hasa kwa kuwa ameimba ABIUD ambaye wengi wanapenda anavyoimba mitaani. Roma amefanya vyema kumopa nafasi kuimba Chorus japo kweli Chorus na...
4 Reactions
15 Replies
4K Views
Huu ndio ushauri wangu kwasababu dini zote zinatambua na kuhuburi msamaha kwa wakosaji. Kwa msingi huo, kiongozi mwenye imani ya kidini, atakuwa sahihi zaidu kutoa msamaha kwa wafungwa katika...
2 Reactions
11 Replies
990 Views
Kipima Joto leo wageni ni Mwandishi nguli mh Atiki na mh Miraji Hawa wote ni Wazanzibar sasa mjadala umekuwa wa upande mmoja inabidi mtangazaji Juliet Robert ndio awe mtetezi wa Tanganyika...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania, Kwa hakika Rais Samia Anastahili pongezi kutoka kwa kila mtanzania mzalendo, Rais wetu Ni mpambanaji na aliyepambana kishujaa na kijasiri Sana kwa ajili ya Taifa letu...
1 Reactions
40 Replies
3K Views
Kinachofanya kiongozi afanikiwe ni kujitenga na washauri wasiofaa. Kwa upande wa Rais, Baraza la Mawaziri ndio chombo muhimu cha kumshauri Rais. Inapotokea kiongozi kufanya mishe za kunywa chai...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Mwanzoni nlijua ni TPDC peke yake kumbe shida na EWURA ni Shida. Wanakwamisha vibali vya kufunga vituo vya kujazia Gesi asilia kwenye magari. Kwa sasa Tanzania nzima vituo vilikuwa viwili tu vya...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Ukitoa mapendekezo juu ya masilahi kwa walimu wanaopinga Ni Walimu wenyewe hivi kwanini lakini, mfano... mapendekezo ya kuwepo kwa; 1. Teaching allowance. 2. Mafunzo kazini Mara mbili kwa mwaka...
4 Reactions
111 Replies
7K Views
Wakati wa Mkapa Kanali Nsa Kaisi na mzee Kingunge walikuwa Washauri upande wa Uchumi na Siasa Awamu ya Shujaa Magufuli sijawahi kusikia kama ana Washauri ama wa Uchumi au hata Siasa Naomba...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Kimsingi Law School of Tanzania inapaswa kushughulika na kuwawezesha wanafunzi kupata ujuzi kwa vitendo ndiyo maana inaitwa LEGAL PRACTICAL TRAINING! Inalenga kuwapatia wanafunzi weledi katika...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kijana huyu kabadilika sana, baada ya kupata Madaraka, amelewa na Madaraka. Yaani kijana huyu kila mtu anamuongea kuwa hasalimii watu na hata wanapomsalimia haitikii. Kijana badilika, acha...
11 Reactions
47 Replies
6K Views
Eid Mubarak. Mara kadhaa nimewahi kusikia kuhusu uhusiano wa CCM n BAKWATA. Hili suala lina ukweli gani? Na kama lina ukweli nani anafaidika na uhusiano huo? Lakini pia inakuwaje mara kadhaa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Ndugu zangu watanzania. Ulimi Ni kiungo kidogo Sana katika mwili wa binadamu lakini chenye madhara makubwa Sana kikitumiwa vibaya,Katika uongozi na kwa kiongozi hasa kwa nafasi ya Urais ulimi Ni...
4 Reactions
58 Replies
2K Views
Mbunge wa Ngara ameiomba serikali kuanzisha mtaala mpya wa Utajiri mashuleni ili kuwezesha Wahitimu kuwa na ari ya uwekezaji wanapomaliza masomo yao , amesema jambo hilo ni muhimu likafanyika ili...
6 Reactions
47 Replies
4K Views
Balozi Dk slaa amerudi kibabe tena kibabe akiwa na kiapo cha ubalozi moyoni mwake ameona aje kuwatetea wananchi wa Tanzania licha ya kiapo. Dk slaa ana kiapo cha utii ila ameamua kusema ukweli...
7 Reactions
56 Replies
3K Views
Hatari sana habari imesomwa kutoka UHAI Tv. Inasikitisha hawa ndugu zetu 80 kutolewa kafara baada ya mfungo. Wamekufa wakikanyagana kugombea misaada ya Eid.
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan, anawatakia Kheri ya sikukuu ya Eid al Fitr Waislamu wote, na kuwakumbusha kuendeleza misingi waliyoiishi katika siku 30 za mwezi mtukufu wa Ramadhani, kwa kutenda...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kimeendelea kunuka Kenya. Hakuna anayekioanisha na ukabila isipokuwa kutokea Tanzania. Leo Raila alikuwa kapigwa kalamu kufanya vitu vyake Murang'a Ukikuyuni huko. Unamsimamisha vipi Tutu...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom