Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Je huko Ikulu Raisi amegusia viwanja vya michezo kwa watoto vilivyo badilishiwa matumizi na kuuzwa? Niko mbali sana na news. Mapinduzi ya Michezo huanza na kuwa pia na maeneo mazuri ya kuchezea...
0 Reactions
6 Replies
919 Views
Hii nchi aibu huwa naona mimi, huu unafiki wa kujipendekeza kwa wanasiasa kamwe Mpira wetu hautakuja kuendelea. Yaani huyu injinia uchwara Hersi anahojiwa kutoa maoni lakini ajabu maneno yote...
36 Reactions
99 Replies
7K Views
Tuache siasa za chuki, kama sijakupa kura mwaka huu isiwe sababu ya kutoleta huduma muhimu kwangu. Kumbuka Maendeleo yanaletwa na kodi zetu na sio siasa za chuki, Wabunge na Madiwani acheni siasa...
0 Reactions
0 Replies
366 Views
Taarifa kutoka ndani ya TAKUKURU zinadai kuwa taasisi hiyo imefungua jalada la uchunguzi wa tuhuma kuwa Waziri wa Nishati, January Makamba, alitoa rushwa kwa wabunge ili wapitishe bajeti ya wizara...
9 Reactions
56 Replies
6K Views
Kujenga Mfugale Fyover sasa imedhihirika kuwa haijatatua msongamano mkubwa wa magari. Tatizo ni junction ya Buguruni/Mandela/Vingunguti roads. Naamini Wizara ya Ujenzi kupitia TANROADS in...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Nchi hii imejaa maigizo mengi sana, nikitafakari mantiki ya Rais Samia kukutana na yanga nashindwa kuelewa. Ingekuwa timu ya Taifa hilo nisingeshangaa lakini pia hizi timu zinaonekana zimeanza...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Ndio ukweli wenyewe Yanga pamoja na kutoa burudani ni Taasisi ya kisiasa pia ndio kisa Uwanja wake ukaitwa Kaunda Stadium na Hati iko kwa mama Karume Hao Sunderland ni wapita njia tu na timu...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Klabu ya Yanga inatarajia leo kupewa zawadi na Rais Samia ya nyongeza ya eneo pale Jangwani ili eneo lile sasa liweze kutumika kwenye upanuzi wa kujengwa kwa uwanja wa mpira wa miguu wa Yanga...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bima la Taifa (NIC), Samuel Kamanga na wenzake sita wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka 365...
7 Reactions
46 Replies
6K Views
Huu ni mfano tu, lakini huenda ukazaa mawazo chanya. Naamini, hitaji kubwa la nchi yetu kwa sasa ni mapinduzi ya fikra. Chukulia, umeonekana wewe ni mzalendo sana kwa nchi yetu nzuri Tanzania...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwa yanayotokea Tanzania kila wakati, imenifanya niikumbuke habari niliyowahi kuisikia toka kwa marehemu Jackson Makweta aliyewahi kuwa Waziri wa Wizara mbalimbali kwenye awamu mbalimbali, RIP...
44 Reactions
105 Replies
6K Views
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ametuma salamu za Pongezi kwa Timu ya soka ya Yanga kwa ushindi wao dhidi ya USM ALGER katika mchezo wa mwisho wa Fainali uliopigwa nchini Algeria. Mbowe...
7 Reactions
59 Replies
4K Views
Naamini vijana wengi wanajitenga na kutojihusisha na siasa au katika vyama vya siasa na shughuli zake huku wakiamini kua wao sio sehemu ya itikadi hiyo Ila ukweli kwamba kulingana na mifumo ya...
0 Reactions
1 Replies
962 Views
Sababu kubwa inayotolewa ya kwanini tunahitaji katiba mpya na si kufanya marekebisho kwenye katiba ya sasa, ni kwamba Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 haikushirikisha...
0 Reactions
0 Replies
726 Views
Ndugu zangu watanzania, Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema kuwa Rais huyu mzalendo, mchapa kazi, Jasiri, shujaa , shupavu, madhubuti na imara mh mama Samia suluhu Hassan amejitoa na kujitolea maisha...
1 Reactions
68 Replies
4K Views
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu. Nchemba amesema licha ya nchi ya Marekani kuja na sera ya kupunguza dola katika mzunguko, Tanzania. bado ina unafuu kwa kuwa haijapata athari kubwa...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
MBUNGE NEEMA MGAYA AITAKA SERIKALI KUFANYIA UKARABATI SHULE KONGWE HAPA NCHINI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe, Mhe. Neema William Mgaya katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ametaka...
0 Reactions
0 Replies
694 Views
Wazazi mwanao kama yupo form four, aendelee kusoma na kujisomea, haya matamko ya wanasiasa ni matamko ya kisiasa. Wewe mwanao yupo shule ya kata, na unajua kuwa ili aweze kupata nafasi ya kwenda...
18 Reactions
196 Replies
11K Views
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Azan Zungu amewapongeza Uongozi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa kuweka bidhaa ambazo ndizo wanazifanyia kazi na...
0 Reactions
1 Replies
933 Views
Nimefuatilia kwa karibu shughuli za kisiasa za ndugu James Mbowe. Nimeridhika kabisa anafaa kukamata nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Ni mwanamageuzi kindakindaki, amepikwa kisiasa...
5 Reactions
19 Replies
4K Views
Back
Top Bottom