Kuwa na Mihimili yote mitatu ya Dola weak ni hatari sana

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,712
6,505
Kinacho endelea kwa sasa ni tuna mihimili mitatu na yote ni very weak sana, hii ni combination ya hatari sana kwa nchi na hii combinationa kaitengeneza Mwenda zake.

Enzi za Jk tulikuwa na Exacative weak ila angalau Bunge la Samweli Sita lilikuwa Moto wa kuotea mbali sana, Lile bunge lilikuwa ni hatari sana na sijui kama litatokea tena bunge la aina ile.

Baada ya Magufuri kuingia akahakikisha anau muhimili wa Bunge na hata Mahakama ili zote zibakie kumuabudu na impact yake ndio hio inayo onekana kwa sasa.

Magufuri alihakikisha anachagua weak Spika wa Bunge wa kumuabudu oamoja na Naibu wake na kama.haitoshi na wabunhe wa mchongo wale wa kuabudu.

Ndugai alikuwa ni very weak Spika ila huyu wa sasa Tulia ni Over Weak Spika wa Bunge saaa combine na kule juu utakna hio combination ilivyo ya hatari sana kwa nchi.

Mahakama nao sio wa kuamini sana Mwenda zake aligawa Uajaji kama Karanga.

Udhaifu huu anaye paswa kulamimiwa anajilikana.
 
Define weakness....
Wengine wakiona Rais anafoka foka hata Kwa vitu ambavyo havina maana kabisa kama foleni ndo wanaona wamepata kiongozi "strong"
 
Bila Katiba mpya itakayoipa uhuru hiyo mihimili ya Justice na Bunge isiingiliwe na mhimili wa Mgogoni itakuwa weak kama mlenda.
 
Ili mradi tu umtaje mwendazake..

Kwani Magufuli alimkuta sitta? Unajua kwa nini sitta alikuwa na ile misimamo?

Hata Ndugai alikuwa spika kabla ya Magufuli.
 
Kinacho endelea kwa sasa ni tuna mihimili mitatu na yote ni very weak sana, hii ni combination ya hatari sana kwa nchi na hii combinationa kaitengeneza Mwenda zake.

Enzi za Jk tulikuwa na Exacative weak ila angalau Bunge la Samweli Sita lilikuwa Moto wa kuotea mbali sana, Lile bunge lilikuwa ni hatari sana na sijui kama litatokea tena bunge la aina ile.

Baada ya Magufuri kuingia akahakikisha anau muhimili wa Bunge na hata Mahakama ili zote zibakie kumuabudu na impact yake ndio hio inayo onekana kwa sasa.

Magufuri alihakikisha anachagua weak Spika wa Bunge wa kumuabudu oamoja na Naibu wake na kama.haitoshi na wabunhe wa mchongo wale wa kuabudu.

Ndugai alikuwa ni very weak Spika ila huyu wa sasa Tulia ni Over Weak Spika wa Bunge saaa combine na kule juu utakna hio combination ilivyo ya hatari sana kwa nchi.

Mahakama nao sio wa kuamini sana Mwenda zake aligawa Uajaji kama Karanga.

Udhaifu huu anaye paswa kulamimiwa anajilikana.
Wewe ni kilaza sana,mihili ni watu,wekeni mnaoona wanaweza kuisaidia nchi, marehemu hana msaada kwenu, pathetic
 
Back
Top Bottom