Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna gari 400 plus za halmashauri zote Tanzania. Kuna halmashauri unakuta ina gari 3: Mkurugenzi gari lake na watumishi wengine gari zao. Kwa ujumla, Arusha kuna gari 500 na zaidi za halmashauri...
25 Reactions
58 Replies
3K Views
Sina maneno mengi wakuu , Nawasalimu katika yeye atupae pumzi ya kila siku, na naenda kwenye mada Ndugu zangu ,kwa mjibu wa clip inayozunguka mitandaon toka Ikulu ya Zanzibar ni kwamba...
2 Reactions
2 Replies
495 Views
Kama ni maneno yanatosha. Anza kazi mzee wa mdomo. Tegeta mafuriko, Mbagala Kijiji, Bunju Panyaroad wamekaa wakila timing. Kigamboni changamoto kibao. Ubungo imelala. Tabata haieweleki life as...
1 Reactions
8 Replies
957 Views
Leo nimemsikia RC Makala akitembelea jengo la uwanja wa ndege Mwanza nakutoa maelekezo kadhaa ya kukwamua mradi huu, kitu kikubwa alichokieleza ambacho anapaswa akifanyie kazi ni kukabidhi jengo...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Hapo vip! Hii ni moja ya ndoto zangu tokea enzi na enzi,nina imani siku ni kiwa rais wa nchi itakuwa ndio mwanzo na neema kubwa ya kila mwananchi maisha yake kuwa bora na umaskini itakuwa ni...
5 Reactions
13 Replies
898 Views
Ni makala ndefu mno ila itworth kuisoma ili kujua mengi kuhusu Muungano wetu KAMARA KUSUPA NA MTAMBO WA KASUMBA JUU YA ZANZIBAR Nimesoma katika Gazeti la An-nuur la tarehe 11- 17 Novemba, 2016...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mbunge Ester Bulaya amesema “Mkataba wa ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere unaeleza mkandarasi akichelewa kukamilisha mradi anatakiwa kutozwa tozo, mradi ulitakiw akukamilika 2022 na...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Katibu Mkuu wa CCM Komredi Chongolo hanaga Muda wa kuhangaika na nyomi yeye huwaendea Watu kule chini kabisa na kumaliza kero zao Ni busara Chadema na ACT Wazalendo wakapumzika kwanza ili wapate...
0 Reactions
4 Replies
616 Views
Shughuli ya uapishwaji wa Viongozi wapya walioteuliwa na Rais John Pombe Magufuli mnamo tarehe 28.07.2018 inaendelea Ikulu, Dar es Salaam. Shughuli iko live TBC. ==== Alichoongea rais Magufuli...
12 Reactions
253 Replies
45K Views
Mlisjisahau mkadhania kupiga vita ufisadi ni udikteta . Mkabakiza kashfa na maneno yasiyo na tija eti Megastructures hazina faida. Leo hii mnakatiza wami. Soon mtakatiza busisi. Na ndio msingi...
2 Reactions
7 Replies
854 Views
"Je, Serikali ina mpango gani wa kupunguza gharama za matibabu kwa akina Mama wanapokwenda Kliniki Sumbawanga?" - Mhe. Bupe Nelson Mwakang'ata, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa "Sera ya Afya...
0 Reactions
2 Replies
655 Views
Elimu bure na ujinga unaoendelea. Ukweli mchungu watoa maamuzi Walipaswa kuwatambua watoto ambao wangestahili hiyo elimu bure. Sehem ya iyo fedha wawalipie chakula. Kwa Sasa Hali ni mbaya...
0 Reactions
0 Replies
401 Views
Naangalia Bunge lipo tupu. Viti vingi havina watu. Hadi wabunge wameomba iangaliwe akidi kama imetimia. Spika kadai linafanyiwa kazi.
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Ukimsikiliza anavyoongea, kutenda na kuamua Katibu Chongolo ni aina ya Magufuli ki utendaji kwa maana ya hapo na papo kwa kwa NIA NJEMA YA JAMBO LIENDE. mfano ni ziara yake kule Iringa hakika...
2 Reactions
6 Replies
783 Views
Bunge letu la Tanzania leo limeingia kwenye historia nyingine ya kuwa kitu cha ajabu sana kwa kauli za Spika Dokta Tulia kuita rushwa kuwa ni kitu cha kawaida kufanyika. Spika akijua kabisa siyo...
24 Reactions
42 Replies
4K Views
Japo Makao Makuu ya nchi yapo Dodoma Ila Watu wanashinda Dar Kwa 1. Semina elekezi, 2. Mikutano, 3. Misiba, 4. Harusi, 5. Ukaguzi wa miradi, 6. Mechi za kimataifa 7. Uapisho **na per Diem...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Spika wabunge la Tanzania ana kibarua kigumu sana kunusuru na kuhalalisha bajeti ya wizara ya nishati baada ya kulazimika kutoa ufafanuzi leo kuwa ni wabunge 193 tu waliohudhuria majadiliano na...
2 Reactions
3 Replies
984 Views
SERIKALI YATOA MCHANGO MKUBWA WA TSH MILIONI 573 KWENYE UJENZI WA WANYERE SEKONDARI Jimbo la Musoma Vijijini laendelea kutatua matatizo yanayowakabili wanafunzi wanaosoma kwenye Sekondari za Kata...
0 Reactions
0 Replies
669 Views
Hii ndio Taarifa ya leo kutoka huko Njombe , kwamba pamoja na kuvunja msingi wenye bango la uzinduzi wa kisima cha Maji Bado vijana wa Chadema wanaendelea kukamatwa kwa tuhuma za uongo za...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom