Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nauliza tu kwa sababu sijaona mwarabu anafuturisha huku Watu wameketi kwenye chair and table Lakini kwa Wabongo ni kawaida sana kukuta meza na viti vimeandaliwa na Mfuturishaji kwa ajili ya...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Fanya utafiti mdogo utagundua Wizara zilizotajwa na CAG kuongoza kwa Ufisadi Mawaziri wake ndio hawakuamimiwa kabisa na Shujaa Magufuli na wengine aliwatumbulia mbali Ni hayo tu Mlale unono!
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Mwitikio umekuwa mkubwa sana ila sina Hakika kama wote watakaa hadi Magharibi Mungu wa mbinguni wafanyie wepesi Chadema Ili lengo la Mkutano litimie hususani kuchambua Ripoti ya CAG Mengi...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Deadline hiyo imetangazwa na Waziri wa Mazingira Suleimani Jafo. Baada ya January 31, 2024 taasisi zote za Umma na Binafsi ni marufuku kupikia kwa kutumia mkaa na kuni. Aidha Serikali imesema...
14 Reactions
60 Replies
6K Views
1. Bajeti ya serikali ni ya kula, kujilipa posho, kununua magari. 2. Upigani ndio story kubwa sinazo pigwa hata kwenye ofisi za wakubwa. 3. Hakuna mtu anamwogopa kiongozi 4.Hakuna miradi mipya...
33 Reactions
89 Replies
5K Views
Nauliza tu Ratiba ya Mikutano ya hadhara ya Mbowe na Tundu Lisu ni kama imezilenga Ngome za ACT wazalendo Lindi, Mtwara na Kigoma Kwa ninavyowajua fitna za CCM na hasa kutokana na ACT kujifanya...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
1)Mashirika 58 ya Umma hayajachangia chochote kwenye mfuko wa serikali kuu ikiwemo MAMLAKA YA HIFADHI na Shirika la Madini 2)Taasisi 97 zina madeni yasiolipika, Jumla Trilioni 3.58 3)Taasisi...
4 Reactions
69 Replies
6K Views
Rais Mstaafu Mzee Kikwete amewaomba Watanzania waendelee kuiombea Nchi iendelee kuwa tulivu na pia Rais Samia Suluhu Hassan aweze kutafuta Majibu ya Vikwazo vinavyowakabili. ======== RAIS...
8 Reactions
96 Replies
6K Views
UKAGUZI wa Ufanisi wa Mamlaka ya Nishati Vijijini (REA) uliofanywa na CAG umeimulika REA kuanzia mwaka 2015/2016 mpaka 2019/2020. Ukaguzi umefanyika kwa maombi ya wafadhili; Shirika la Kimataifa...
7 Reactions
53 Replies
4K Views
Tusichoshane! Since hakuna aliyepisha tangu kauli ya yule mama kuwa walioiba mboga jikoni wasepe. Siyo siri tena wewe mama ndo utupishe, naamini huwa unapita hapa JF na unasoma baadhi ya nyuzi...
45 Reactions
208 Replies
10K Views
Kati ya wabunge walio omba poo pale mjengoni ni Deo Sanga. Wameanza kusoma alama za nyakati kuwa watanzania sasa wanataka mabadiliko. Wamuomba Mbowe (chama) asisimamishe mgombea urais ili mama...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Unajua, from a clever person like myself,people expect to get good advice. Yule rais kafanya mambo makubwa katika nchi hii. Sasa, ukimsema vibaya unapata laana, kwa sababu unakuwa unamsema mtu...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Miaka kadhaa iliyopita nikiwa Wilaya ya Bukombe kimatembezi nilifatwa na bwana mmoja mkuu wa Idara moja serikalini ni rafiki yangu tuliyesoma pamoja. Alinifata ni kunipa mchongo wa kutaka tupige...
9 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanabodi, Wakati taarifa ya uchunguzi ya PCCB na ile ya CAG kuhusu suala la IPTL, nimenote kumetokea too much sensationalism to dramatize ili ionekane its a very big deal!, na kwa vile escrow...
3 Reactions
199 Replies
22K Views
Kwa mujibu wa CAG, shirika la bima ya afya ya Taifa limepata hasara ya zaidi ya 204B, kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kufanya malipo hewa, na marudio ya malipo kwa huduma ile ile kwa mtu...
11 Reactions
93 Replies
6K Views
Askofu Dk Shoo na Bagonza wanajitambulisha kama vinara wa kupenda haki na kutii katiba, katika Jimbo la Konde, wamedhihirisha rangi yao, wamevunja katiba ya kanisa ili kumuondoa Askofu Dk...
2 Reactions
59 Replies
5K Views
Tangu mwaka wa kwanza trilioni 1.5 ilipigwa nzima nzima, hii alisema Assad na kuanzia hapo akawa hasimu ya JPM, miaka 6 jamaa katuibia ngapi na ziko wapi?
13 Reactions
97 Replies
6K Views
Kinacho endelea kwa sasa ni tuna mihimili mitatu na yote ni very weak sana, hii ni combination ya hatari sana kwa nchi na hii combinationa kaitengeneza Mwenda zake. Enzi za Jk tulikuwa na...
3 Reactions
6 Replies
690 Views
Back
Top Bottom