Niendelee kung'ang'ania ubara kwanini wakati uraia wa Zanzibar unarahisisha maisha?
Wazanzibar wamebahatika zaidi kupata uwanja mpana tena wa kipendeleo kabisa katika nafasi za uongozi, ajira...
MHE. NDAISABA RUHORO AMEISHAURI WIZARA YA NISHATI KUWEKA FEDHA ZA KUTOSHA KWA AJILI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
"Rais Samia ameona ni muda muafaka tuendeleze rasilimali ya Gesi Asilia ambayo MUNGU...
January Makamba anasumbuliwa na tatizo kubwa sana la kutojua hesabu na kusema uongo. Anataabishwa sana na kufanya mambo ili kuonekana anafanya makubwa wakati ukweli ni kuwa mbali na maonyesho ya...
Nimeona kama wasiojulikana wamewekwa rasmi kwenye mfumo wa kiutawala.
Kwanini?
Kwa sababu hakuna anayewafahamu maafisa usalama wa Taifa kwa uwazi. Wapo kwa kificho zaidi kama wasiojulikana...
Kuna mambo siye Wahenga huwa tunabaki tunacheka tu
Wakati wa Nyerere familia nyingi za mjini walitumia Gesi na Umeme kwa ajili ya Kupikia
Sasa Chadema wanapofanya Gesi kuwa Mjadala wa kitaifa...
Mbunge wa Singida Kusini Elibariki Kingu ameitaka Serikali iipe mkataba mnono tena kampuni ya Songas ili iendelee kuiuzia Serikali umeme
Ameyasema leo bungeni Dodoma
Serikali imesema reli ya kisasa ya SGR kutoka Dares salaam kwenda Morogoro (KM 300) itaanza kutoa huduma mwezi wa saba mwaka huu.
Akijibu swali Bungeni Jijini Dodoma leo, Naibu Waziri wa Ujenzi...
Sheria za kimataifa zinasema umbali wa maili 200(320km) kutoka ufukweni mwako ni eneo lako la bahari.
Sasa kwa Tanganyika ambayo ukitoka tu kidogo unakuta visiwa vya Zanzibar eneo lake la bahari...
Nimepitia Wizara zote waliandaa kile wanaita seminaza kuwajengea Wabunge uelewa. Mfano Afya waliandaa kuhusu Elimu ya Bima ya Afya kwa wote, Madini Wiki ya Stamico, Ardhi Waliandaa kile wanaita...
ENG. EZRA CHIWELESA - TANZANIA ITAIUZIA CHINA GESI ASILIA KUPITIA MRADI WA LNG
Mgodi wa Biharamulo StamiGold tumepokea Umeme na hasara ya Mafuta zaidi ya billion 1.2 yaliyokuwa yanatumika mgodini...
Muda umewadia sasa kwa chama tawala kuvirudisha viwanja vyote vya michezo ilivyojimilikisha, ili viwe chini ya serikali. Ni ukweli usiopingika ya kwamba utaratibu uliotumika katika kuvimiliki...
Kwakuwa Sasa Bwawa la Stiglers limebakisha MITA 8 za kujaa maji kiwango Cha kuzalisha Umeme, yaani imefika MITA 155.8, na tayari mpaka Sasa maji yaliyomo katika Bwawa Hilo Toka limeanza kujazwa...
MKUU wa Wilaya ya Morogoro,Rebeca Nsemwa,amejikuta akipokelewa na Mabango pamoja na vilio kutoka kwa wananchi wa Vijiji vya Dalla tarafa ya Bwakira na Mbwade tarafa ya Mvuha katika Halmashauri ya...
Dar es Salaam. Mwandishi wa Habari Mkuu wa Gazeti la Mwananchi, Elias Msuya ameshauri Serikali kutazama upya msimamo wake kuhusu zuio la uraia pacha, akisema uraia pacha utasaidia kufungua milango...
Katika kumbukumbu tuliyonayo ni kwamba wizara ya ujenzi na uchukuzi ilitangaza hadharani mbele ya umma kwamba tren ya umeme itaanza safari zake Dar e Salaam to Morogoro mwezi May 2023 hadi sasa...
Kuna sintofahamu ya neema na hasara za uraia pacha,naomba tushirikishe mawazo,uelewa kwa anayejua faida tunazizikosa kama taifa kutokana na uraia pacha
Kadhalika hasara zitokanazo na uraia pacha...
Kwa majibu wa China Global Television Network (CGTN )mwaka 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Johnn Pombe Magufuli anaonekana ni Rais wa pekee sana na ni miongoni mwa Maraisi Watano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.