ORODHA ya mashirika 58 yasiyo changia hata mia kwenye mfuko wa serikali

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,664
1)Mashirika 58 ya Umma hayajachangia chochote kwenye mfuko wa serikali kuu ikiwemo MAMLAKA YA HIFADHI na Shirika la Madini

2)Taasisi 97 zina madeni yasiolipika, Jumla Trilioni 3.58

3)Taasisi zenye madeni makubwa zipo 99, Jumla ya Deni ni Trilioni 7.65

Hapa tumlamu nani ?

USSR
Screenshot_20230408-091715.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... sijui mnamlaumu nani sasa; kuteua mteue ninyi; kutengua mtengue ninyi; humo mwote mpachike makada kila idara; then? Bila kuweka competent people badala yake wakajazwa maguo ya kijani kila mwaka itakuwa kilio hicho hicho hadi ukamilifu wa dahari.
 
1)Mashirika 58 ya Umma hayajachangia chochote kwenye mfuko wa serikali kuu ikiwemo MAMLAKA YA HIFADHI na Shirika la Madini

2)Taasisi 97 zina madeni yasiolipika, Jumla Trilioni 3.58

3)Taasisi zenye madeni makubwa zipo 99, Jumla ya Deni ni Trilioni 7.65

Hapa tumlamu nani ?

USSR View attachment 2580503

Sent using Jamii Forums mobile app
Rais akisema ayafute mnasema yako Kwa Ajili ya Huduma 😁😁

Kama yaliundwa kibiashara na hayaleto faida futa
 
Back
Top Bottom