Wadau nawasalimu.
Bunge letu limesema Sakata la Report ya CAG litajadiliwa November kupisha mjadala wa ushoga. Tukumbushane tu Sakata la Richmond, lingesubiri nalo November Mzee aliyejiuzulu...
Elimu ni mojawapo ya nguzo kuu za maendeleo ya taifa lolote lile. Kwa bahati mbaya, mfumo wa elimu wa Tanzania umekuwa ukiathiriwa na changamoto nyingi kwa muda mrefu sasa.
Wengi wanaamini kuwa...
Vitu vichache vya kipekee vinajionyesha katika bajeti ya Tanzania iliyofanyiwa ukaguzi na CAG. Kwa mfano, kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania kwenye miaka ya hivi karibuni, mapato...
Haiwezekani kabisa CAG afanye kazi yake akabidhi wezi wa fedha zetu, alafu tuendelee kupanga bajeti nyingne, ili tuwape fursa wakaibe tena!!?
Nawaomba wote wenye uzalendo wa kweli tuungane pamoja...
468 WAFUTIWA UANACHAMA WA NHIF KWA UDANGANYIFU
Na Mwandishi Wetu
Katika kupambana na udanganyifu unaofanywa na wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wasio waaminifu jumla ya wanachama 468...
Miezi miwili inakatika haiujulikani waziri huyu mchapakazi yuko wapi? Kwenye matukio muimu kama bungeni haonekani, kuanguka kwa ghorofa kunakomhusu ukizingatia bodi zote za ERB, na AQRB ziko chini...
Kama kuna ambao nitawakwaza katika hili nawaombeni Radhi ila nikiwa kama Mzalendo na Mtanzania wa kweli nadhani nami pia nina Wajibu katika Kuwasilisha yale ambayo kiukweli nakumbana nayo 24/7...
"Mimi ni mzee sasa na maneno yangu pengine hudhaniwa ndoto za uzee. Ningetamani mambo mawili, moja la hakika lingine la kufikiriwa. La hakika tuwashawishi watanzania Rais wetu asipate kura ya...
Baada ya uchaguzi mkuu ambao ni moja ya chaguzi mbaya kupata kutokea Tanzania, bunge la Tanzania kupitia wabunge wake wa chama kimoja waliopatikana baada ya uchaguzi kuchafuliwa na tume ya...
Juzi wakati Rais anapokea Report ya CAG, alitamka mambo mengi kwa hasira na jazba sana hadi wengine wanaona hakuwa sahihi.
Kwa cheo alicho nacho na maana ya report ya CAG hakutakiwa kutoa hukumu...
Mubashara:
Mhe. Dkt. Philip Isdori Mpango ameapishwa kuwa makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; na Jaji mkuu wa Tanzania mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma katika lkulu, Chamwino...
Bunge la 12 Mkutano wa 11, Kikao cha Saba, Ijumaa Aprili 14, 2023
SERIKALI YASEMA TANZANIA INA DIASPORA MILIONI 1.5
Takwimu hizo za Diaspora ni kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi za Kibalozi za...
Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro Katika kutekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi, Machi 27-29, 2023 alipofanya ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo alichangia kiasi...
Habari wadau wa siasa.
Mnamkumbuka mkulima wa kigoma aliyewania urais ndani ya CCM 2015? Nakumbuka pia alipungukiwa hela za kuchukua Fomu na alipambana hadi kesho yake akazipata na kuchukua fomu...
Kodi inalipwa kwa ajili ya maendeleo ya taifa lolote husika na kuhudumia raia wake. Kanuni hii ya kulipa kodi ilikuwepo ulimwenguni miaka mingi hata kabla ya Yesu.
Kwa Tanzania katika miaka mingi...
Wakuu , Natanguliza salamu , baada ya salamu hii najikita moja kwa moja kwenye hoja .
Kwa Mujibu wa Ratiba iliyotangazwa na Chadema Kanda ya Nyasa, leo tarehe 28/2/2023 ndio siku ya kuhitimisha...
Rais Mstaafu wa Msumbiji Mhe. Joaquim Alberto Chissano ameipongeza Tanzania kwa kuendelea kutunza na kuhifadhi kumbukumbu muhimu za historia ya harakati za Ukombozi wa nchi mbalimbali za Bara la...
Ni jambo la kushangaza sana, kuna taarifa ya CAG inayoonesha wizi na ubadhirifu wa matrilioni ya pesa, lakini spika anasema eti report itajadiliwa mwezi Novemba, sahizi waendelee kujadili masuala...
ZIARA YA MHE. KENNETH NOLLO KIJIJI CHA ISANGHA KATA YA CHIBELELA
Mbunge Jimbo la Bahi, Dodoma Mhe. Kenneth Nollo Jana tarehe 13 April 2023 amefanya Mkutano wa hadhara Kijiji cha Isangha Kata ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.