Kuna uteuzi na kuhamishwa vituo kwa makatibu na wakurugenzi wa halmashauri mbalimbali nchini. Watanzania tusipotezwe maboya, tupeleke mbele mjadala wa kubinafsishwa kwa bandari ya Dar es Salaam...
Amani Tanzania!
Sina mengi ya kuwachosha wana janvi!
Muda wa kubinafisisha Bunge letu umewadia rasimi!
Ninazo sababu kuu mbili tu, mengine mtaongezea
# Ni kwa sababu bunge letu, halina uwezo...
Kwa wageni wa JF ama labda na Wenyeji lakini Wasahaulifu , Aron Kagurumujuli alikuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni , aliyeshiriki kikamilifu kutokomeza Demokrasia na kuhusika kwa Udi na...
Watanzania tumerogwa siyo bule!
Siku zote mkaguzi wa hesabu za Serikali (CAG) mara zote ukaguzi wake katika sector ya Bandari amekuwa akisisitiza ufanisi uongezwe ili mapato yaongezeke...
SAKATA LA PICHA YA MBUNGE WA NGARA WANANCHI WAKANA KULAZIMISHWA
Wananchi na wakazi wa Wilaya ya Ngara mkoani Kagera wamekanusha kulazimishwa kuweka picha ya Mbunge wa Jimbo hilo Mhe. Ndaisaba...
Sasa naanza kuamini aliyekuwa waziri wa miundombinu Dkt. Chamliho alitenguliwa makusudi ili mwenye mamlaka aweke mtu atakaye mmudu ili iwe rahisi kufanya hayo ya waarabu.
Duru zinadai Dkt...
Bado maswali ni mengi kuhusu kampuni ya DP world kupewa kandarasi ya Bandari nchini Tanzania. Kwanza, Je, kulikuwa na zabuni iliyotangazwa ili kupata kampuni shindani? Kwa takwimu nilizo nazo, DP...
Nakumbuka akiwa Tanga kwenye uzinduzi wa matenki ya mafuta Rais Magufuli wakati huo aliwahi kumwita Prof. Makame Mbarawa Mpumbavu.
Maana ya neno mpumbavu ni mtu aliyevuka viwango vya ujinga...
Salam
Ndugu mkurugenzi wa maendeleo wilaya ya Geita mjini pole na hongera kwa majukumu yako ya kila siku katika kuwatumikia wanageita mjini.
Naleta malalamiko ya wakazi wa Geita mjini, kata ya...
Hali inazidi kuonesha kuwa visiwani kimeumana.
Tazameni na sikilizeni kinachozungumzwa na mwana wa mfalme.
Nauona mwisho wa CCM baada ya kutawala kwa 60yrs+.
Kwa misuguano hii kamwe haijengi...
Ndugu zangu wahenga walishasema mapema ya kwamba MCHUMA JANGA HULIA NA NDUGUZE.
Ki kawaida matatizo humuumiza zaidi yamhusuyo kuliko jirani na mfano hai ni suala la kufiwa aumiaye na msiba ni...
Mkuu wa Wilaya ya Rorya Mkoani Mara, Juma Chikoka amewataka wananchi wa vijiji vya Mkengwa na Kibuyi kushiriki katika shughuli za maendeleo kutokana na Serikali kutoa kiasi cha shilingi milioni...
Salaam Wakuu
Viongozi wakuu wa CHADEMA wameanda zao Italy na Ujerumani baada ya kuhitimisha Ziara ya +255.
Chama kikuu cha upinzani, CHADEMA, hivi kilizindua kampeni maalumu ya kudai katiba mpya...
Watanzania tuna matatizo sana. Unakuta mtu Hana utaalamu wowote naye anakuwa eti mchambuzi na mbishi kwelikweli.
Hivi kibinafsisha bandari nayo ni issue? Nini maana ya uwekezaji? Nini maana ya...
Kwa wanaofuatilia historia ya nchi yetu tangia uhuru, ambapo baada ya uhuru makampuni, viwanda, mashamba makubwa, shule, benki nyingi zilikuwa chini ya sekta binafsi.
Nyerere kwa uelewa wake...
Nimeona kwenye mkeka wa wakurugenzi teuze Mpya na mabadiliko ya watendaji wa halmashauri jina hili la Geofrey Nauye ni mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya mji wa Newala sehemu ambayo alikuwepo...
Waziri wa fedha na Mipango Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa wizara inaendelea kusimamia deni la Serikali kwa kuzingatia Sheria ya Mikopo, Dhamana na Misaada,
Mhe. Mwigulu ameyasema hayo leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.