Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MCHANGO WA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB), MBUNGE WA JIMBO LA KISESA (CCM) WAKATI AKICHANGIA MUSWADA WA SHERIA YA FEDHA WA MWAKA 2022/2023 (THE FINANCE ACT, 2022) BUNGENI DODOMA 28 JUNI 2022 1.0...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hili Jiji la Dodoma na halmashauri yake ni moja ya sehemu iliyojaa Rushwa iliyokithiri viwango vya kawaida vya kupeana maji ya kunywa kishkaji, ni Jiji la hovyo likiongozwa na Mkurugenzi wake...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Mhe. Mpina nianze kukupongeza kwa michango yako kila Bunge linapokaa. Leo ulipokuwa unachangia kwenye bajeti ya Wizara ya Sheria na Katiba ulitoa hoja ambayo kila Mtanzania atakuunga mkono...
9 Reactions
29 Replies
2K Views
Jamani nina swali ambalo nadhani hata wabunge wetu wangejiuliza kabla ya kupitisha hili jambo. Na wasiangalie wao wanaishi sasa waangalie na watoto na wajukuu wajao wataishi vipi huko baadae...
0 Reactions
0 Replies
869 Views
Ukweli mchungu ni kwamba watu wa aina ya aliyekuwa Mkurugenzi Shinyanga mh Nassoro ni wachache na adimu kupatikana hapa Tanzania. Ni aina ya vijana ambao ukiniambia ni msomi nakuelewa vizuri...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Na Kabwe Z. Ruyagwa Zitto, Mb (Makala haya kwa sehemu kubwa yametokana na makala iliyoandikwa na mtu mwengine [....]. Mimi nimeiboresha tu Katika baadhi ya maeneo) Juzi Serikali imetangaza...
87 Reactions
335 Replies
37K Views
Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Mzalendo Nambari moja Dkt. John Pombe Magufuli imetumia tsh bilioni 16 kukarabati shule 9 za Ufundi nchini Shule hizo ni pamoja na: Moshi Tech Arusha...
2 Reactions
50 Replies
8K Views
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Hamad Abdallah ambapo wamejadiliana...
0 Reactions
2 Replies
715 Views
Watanzania wenzangu, mara chache sana nakuja kwenye hili jukwaa. Leo nilikaa na kufikiri sana. Nikaona nije na hili swali. Je, kipi ni bora kati ya Demokrasia na Utawala wa kifalme? Kwa Nchi...
0 Reactions
0 Replies
705 Views
Habari, Hayati Magufuli anatukanwa sana kuwa ni fisadi na mwizi, hebu watukanaji wake, mnitajie mkataba wowote ule wa kifasadi also wahi kufunga kipindi cha utawala wake? Pia unitajie ni...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Mbunge wa Zamani wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu Baada ya kukaa zaidi ya saa 6 pale JNIA akisubiri Ndege ameitaka Serikali iwape Waarabu na ATCL. Bilionea Sugu amelalamika kupitia kurasa...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Wadau nawasalimu naomba wenye uelewa mpaka watujuzi Tanzania ni nchi huru yenye katiba yake. Katiba ya Tanzania ina sema Tanzania ni nchi ya mfumo wa vyama vingi vya siasa na bunge ni la vyama...
1 Reactions
5 Replies
861 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema ambaye pia Wakili Maarufu nchini mh Tundu Antipas Lissu amesema Ukiona Mkataba unapelekwa bungeni ukaridhiwe Ujue Mkataba huo una Athari kwa Sheria za nchi hivyo...
0 Reactions
1 Replies
904 Views
Imekuwa vipi Nigeria wakampokea wakati kwao nyumbani alipigwa vita kisawasawa na cha ajabu walio mpiga vita bado wako Offisini wakilindwa na wakubwa? Tukisema wakubwa wananufaika na mazingira...
1 Reactions
5 Replies
929 Views
Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia Mhe. Ali Mwadini amekutana na Mhe. Dkt. Abdullah bin Abdulaziz Al-Rabeeah, Msimamizi Mkuu wa Kituo cha Huduma za Kibinadamu cha Mfalme Salman wa Saudi Arabia...
1 Reactions
7 Replies
816 Views
1. Familia ya Jakaya Kikwete - Hii ndio kila kitu, inaongoza kila kitu hasa nani awe wapi na kwanini. 2. Familia ya Ally Hassan Mwinyi - Bado ananguvu sana hasa Zanzibar, ikiwa wanae wanne ni...
17 Reactions
61 Replies
6K Views
Sioni dalili yoyote ya ATCL kujiendesha kwa kwa faida na kushindana na makampuni mengine ukiwa itaendeshwa na Watz, Asilinia kubwa ya Waafrika hasa Wabongo wana weakness ya asili hata aende shule...
1 Reactions
7 Replies
675 Views
Naungana na Zito maana hiki kulikuwa ni Kilio Cha Wabunge Kwa miaka Mingi kutaka Mikataba ambayo Serikali inaingia ikapitiwe na Bunge kabla ya kuanza utekelezaji.. My Take Badala ya watu kujadili...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
MAKOSA MAKUBWA YA MSWADA WA TISS Sehemu ya 1. Moja ya makosa ya mswada wa sheria ya Usalama wa Taifa, kipengele cha 5 cha mswada huo kinampa mamlaka Afisa usalama kukamata na kupekua viongozi...
18 Reactions
60 Replies
7K Views
Zipo tetesi pale mjengoni ugogoni wao kwa wao wameanza kufichuana wakidai wana kamati wote waliotembelea kule DP walikabidhiwa hati za nyumba za kisasa zenye umiliki wao. Wale wawili waongeaji...
7 Reactions
30 Replies
4K Views
Back
Top Bottom