Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chadema ni kikundi cha wanaharakati kama vile ......na ..... na wamethibitisha kuwa utamaduni wa Siasa za amani,upendo na udugu hawazijui na hawataki kuzijua kabisa! Niliwahi kuandika siku moja...
-2 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwanza kabisa niwape pole ndugu zangu watanzania kwa msoto mkubwa tulioupata kwa mwaka 2022.Wengi wetu tulitegemea mambo angalau yangekuwa nafuu lakini tulikula msoto kama tuko jehanamu😀😀😀😀 umeme...
29 Reactions
105 Replies
7K Views
Nakumbuka mchungaji Mtikila RIP Siasa zake zilijikita kwenye Zanzibar iliyo Huru, Tanganyika iliyo Huru zote ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mashambulizi ya leo bungeni kwa Mbowe ni...
1 Reactions
1 Replies
589 Views
Kesho 10/06/2023 ndio siku ya kuwatambua wabunge watakaoamua kuuza bandari yetu , kwa kuweka kumbukumbu sawa tutaweka majina yao yote pamoja na Majimbo yao ili historia iwakumbuke kwa kuuza...
22 Reactions
66 Replies
5K Views
Unajuwa yapo mambo hili Taifa asipo tokea mtu kama Jerry Rolling wa Ghana kamwe hatuto toka hapa tulipo. Hivi umewahi kujiuliza bunge letu lina wabunge wanasheria wangapi na kile kina endelea kwa...
0 Reactions
1 Replies
607 Views
Kutokana na kile kinachoendelea kwenye mitandao ya Kijamii kuhusu bandari ya Tanzania imeuzwa, Mbunge wa Geita vijijini Joseph Musukuma leo amezungumza na wanahabari akiwa Jijini Dodoma
10 Reactions
253 Replies
22K Views
Hofu ni Hali tu na Wala sio hoja. Watanzania tumeendelea kuwa mahodari wa hofu wasio na hoja. Nakumbuka mwaka 1992 wakati wa mjadala wa Nchi kuwa na mfumo wa vyama vingi, wengi sana walipinga kwa...
0 Reactions
0 Replies
415 Views
Habari wanajamvi, Kama kichwa cha somo kinavosema.... Msimamo wa mama samia kwenye maamuzi yake mengi ni kwamba WATANZANIA WENGI NI WAONGEAJI TUU LAKINI MWISHO WA SIKU HUKUBALI NA KUTULIA KIMYA...
23 Reactions
90 Replies
9K Views
Nchi yetu ipo katika hatua za mwisho kuangamizwa na mafisadi Mafisadi wapo smart sana Wamezipa high light Yanga na ndugu yake Simba ili waibe watakavyo bila kupigiwa kelele Kumbe Sasa Kulipa...
1 Reactions
4 Replies
615 Views
Kwa wale tuliomfuatilia vzr leo bungeni kwenye hoja ya kupitisha azimio la bunge la kukubali makubaliano baina ya Tanzania vs Dubai watakabuliana na mimi kuwa mama huyu ni msomi hasa wa sheria...
0 Reactions
4 Replies
999 Views
Haya yanayoendelea yanaonyesha udhaifu na kukosa uwezo wa kiuongozi na kimaono kwa kiongozi. Kama kiongozi makini unatakiwa utumie busara na akili nyingi kudadavua mambo.Kabla ya jambo hili kufika...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Hotuba na maelekezo ya Mbowe yamebaki kuwa mchango pekee ulio wa wazi katika suala la bandari. Hakuna kiongozi yeyote wa chama chochote au Mbunge ambaye amefafanua kwa hoja issue ya mkataba na DP...
6 Reactions
6 Replies
851 Views
Kifungu 8 - Haki za Ardhi "Serikali ya Tanzania itachukua hatua zote muhimu kuhakikisha upatikanaji na utoaji wa haki kwa DPW au Kampuni Husika..." kwa kiingereza “The Government of Tanzania...
0 Reactions
2 Replies
772 Views
Kwanza nianze kwa kuipongeza serikali kwa hili jambo la bandari. Maendeleo yanahitaji maamuzi ya kijasiri na siyo kusikiliza kelele za watu wasiojielewa. Baada ya mwanzo huo niende moja kwa moja...
0 Reactions
2 Replies
702 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA bwana Mbowe ameonesha na kuthibitisha kuwa sasa yeye ni mlamba asali ya Ikulu aliyekubuhu. Hili limethibitika hivi karibuni alipojaribu kujadili sakata la bandari ambapo...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Mbona mnahamisha hoja za mjadala juu ya huo mkataba mnajadili kauli ya Mbowe? Huo mkataba utajadiliwa kwa kina kweli? Tafadhali jadilini mkataba, acheni sifa kwa watu huu si muda wake. Tunataka...
11 Reactions
34 Replies
2K Views
Mbunge Aeshi awaonya mawaziri, ‘alilia’ meli Ziwa Tanganyika Na Mwandishi Wetu, Dodoma MBUNGE wa Sumbawanga Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Aeshi Hilaly amewaomba mawaziri kutokutumia...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Tumetukanwa mno na Kudhihakiwa sana hapa JamiiForums kwakuwa tu akina GENTAMYCINE walipenda aina ya Utawala (Uongozi) wa Hayati Magufuli. Nakiri kama Binadamu Hayati Magufuli nae alikuwa na...
21 Reactions
15 Replies
2K Views
Kifungu 6 - Idhini na Kibali cha Serikali Husika "Serikali ya Tanzania itahakikisha kuwa Kampuni Husika ya Mradi inapewa idhini zote muhimu za kiserikali, kibali..." Mapendekezo: Kuondoa neno...
1 Reactions
1 Replies
627 Views
Back
Top Bottom