Bajeti yapendekeza kusamehe Kodi ya ongezeko la thamani kwenye uuzaji na ukodishaji wa ndege

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,194
4,116
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyapendekeza kwenye hotuba yake ni kusamehe Kodi ya ongezeko la thamani kwenye uuzaji na ukodishaji wa ndege, injini za ndege na vifaa vyake vinavyouzwa nchini.

“Lengo la hatua hii ni kutoa unafuu kwa Waendeshaji wa shughuli za usafiri wa anga kwa kuwawezesha kununua bidhaa husika nchini au kuagiza kutoka nje ya nchi bila kulipa Kodi ya ongezeko la thamani.

“Hatua hii itafuta uamuzi uliochukuliwa mwaka 2022/23 ili kuendana na dhamira ya kukuza sekta ya utalii sambamba na hatua ya Mheshimiwa Rais ya kuhamasisha Sekta hii kupitia
 
Wanapunguza kodi kwenye masuala yanayo wahusu wao, halafu kwa yale yanayo wahusu wananchi wa kawaida; wanaongeza.
 
Back
Top Bottom