Bajeti Kuu, 2023-2024: Kodi kufutwa kwa kila line ya simu kulingana na uwezo wa kuweka salio

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,194
4,114
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, leo June 15, 2023 wakati akisoma bajeti kuu ya serikali amesema kuwa anapendekeza kufutwa kwa kodi kwenye kila line ya simu kulinaa na uwezo wa kuweka salio.

"Napendekeza Kufuta tozo kwa kila laini ya simu kulingana na uwezo wa kuongeza salio kwa watumiaji ili kuchochea matumizi ya kielektroniki katika miamala mbalimbali"
 
Naomba ufafanuzi kwenye "Kulingana na uwezo wa kuweka salio"
 
Inawzekana Makusanyo kupitia miamala ya simu imeshuka baada ya kuweka tozo
Yangeshuka Vodacom wasingepata faida..

Hapo wanajaribu kuwatafutia unafuu watu wa chini ambao unakuta mwezi mzima vocha hazijafikia hata elfu 3 wakati Mimi hapa matumizi yangu ni Kati ya 60,000-70000 Kwa mwezi so Kodi itanihusu
 
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, leo June 15, 2023 wakati akisoma bajeti kuu ya serikali amesema kuwa anapendekeza kufutwa kwa kodi kwenye kila line ya simu kulinaa na uwezo wa kuweka salio.

"Napendekeza Kufuta tozo kwa kila laini ya simu kulingana na uwezo wa kuongeza salio kwa watumiaji ili kuchochea matumizi ya kielektroniki katika miamala mbalimbali"
Amepwaya kabisa
 
Tatizo la kuzaliwa na wazazi wasiojua kuandika majina yao na jina lako. Sijui walipata wapi jina la Lameck.
 
Back
Top Bottom