Kasanzu The Great
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 309
- 222
Pesa ambayo Mama Samia meipeleka kwa wananchi tangu aingie madarakani ni pesa nyingi Sana. Amejenga madarasa, vituo vya afya, ameanzisha utaratibu Wa kupeleka mil 500 kila jimbo kwa ajili ya Maendeleo ya barabara, ameinua uchumi wetu, amerejesha siasa za ushindani na demokrasia, maslahi ya wafanyakazi, elimu Bure, ajira mpya na kurejesha nchi kwenye utawala Wa sheria wenye kuzingatia haki za binadamu na utawala bora.
Anapambana kukamilisha miradi ya Maendeleo iliyoachwa na Hayati Magufuli ikiwemo Bwawa la Mwalimu Nyerere, SGR, Daraja la Busisi nk.
Watu Wa Ikulu wanao husika na branding hawajafanyakazi kubwa ya kuhakikisha kwamba wananchi wanaelewa kazi kubwa ambayo Mheshimiwa Rais anafanya.
Mambo yafuatayo Mama ajitahidi kufanya.
1. Arudishe siasa za hamasa
Ni ukweli kwamba nchi imetulia, siasa za hamasa zimepungua na inampa kazi kubwa Mama anapofanya ziara. Mwitikio Wa watu unakuwa Wa kulazimisha au kutumia nguvu kubwa ya ushawishi. Kupitia hili afanye mambo yafuatayo;
I. Ateue wakuu Wa MIKOA na Wilaya wenye ushawishi, wanasiasa wanaojua siasa vema na vijana wenye mbinu nyingi. Kupitia hili Dar es Salaam amepatia kumpeleka Chalamila. Kwa Maoni Yangu, Mwanza ampeleke Paul Makonda (wapinzani watalalama lakini sio jukumu la wapinzani kumpangia Rais Nani Wa kuteua, pia wale mahasimu Wa Makonda Ndani ya CCM sio jukumu la Mama kurithi maadui Wa mtu, wapigane vita vyao bila kumuingiza yeye).
Ii. Sio dhambi kuwarudisha vijana waliokuwa wakitumika katika utawala uliopita. Mfano, hakuna haja ya kumficha Pole pole Cuba, arudi apewe nafasi ya Sophia Mjema. Ukweli nikwamba Dada yetu Sophia Mjema siasa za ushindani bado hajazimudu bema, Mama anashambuliwa yuko kimya, vyombo vya Habari vinaona Hana mvuto, anapotoa taarifa zake pia zinakosa kishindo, uwezo Wa kupambanua mambo ili kumlinda Mheshimiwa Rais naona pia hautoshelezi, ule mchakamchaka Wa Pole pole au Nape Nnauye haonekani, Mwishowe Mama anashambuliwa na kukosa mtetezi.
Iii. Msemaji Wa Ikulu Dada yetu Zuhura Yunus anakuwa mkimya Sana, Ikulu inamambo mengi yanayohusu nchi lakini Dada yetu kama katulia Sana, Ikiwezekana Gerson Msigwa arejee pale halafu Zuhura akawe msemaji Wa Serekali kwa ujumla au apelekwe TBC akawe Mkurugenzi Wa Shirika.
IV. Nimefuatilia ziara ya mheshimiwa Kanda ya Ziwa, sikufurahishwa na Ziara hiyo. Amuondoe mheshimiwa Amos Makala a mpeleke maeneo mengine, Mkoa Wa Geita pia aende mwanasiasa kijana atakayefanya siasa za hamasa na usimamizi Wa shughuli za Maendeleo kwa weledi.
V. Awaite wabunge Wa majimbo ya Kanda ya Ziwa awasisitize kufanya mikutano ya hadhara wakiongozwa na Dr. Angeline Mabula, Mabula mbunge Wa Nyamagana, mbunge Wa Sumve, Magu nk. Wamejisahau, hawapendi kufanya mikutano ya hadhara na kuwaeleza wananchi mambo ambayo Mama Amefanya na anaendelea kufanya.
VI. Mwisho, Mama tatua changamoto ya uhaba Wa maji katika jiji la Mwanza. Hili bado ni tatizo kubwa ukizingatia Ziwa liko hapo hapo. MWAUWASA ipewe pesa za kutosha itekeleze miradi ya maji ili kila mtaa upate maji ya uhakika. Endelea mama kuchapakazi
IV. Celebrities watu Mike pia kuitangaza kazi za Mama, Mawaziri waingie field wakague miradi na wakemee uzembe na ubadhirifu, wale vijana walioko sea siku za nyuma wakaondoshwa kwenye nafasi warejeshwe Kisha warekebishwe. Mfano, Mrudishe Ally Hapi, Paul Makonda wachangamshe nchi.