Rais Samia: Magufuli na mimi tulikuwa tunapanga Mipango yote pamoja kwa hiyo hii miradi ya Sengerema lazima niikamilishe

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,970
141,982
Rais Samia anesema atakamilisha miradi yote ya Sengerema kwa sababu kule ni ukweni kwa Shujaa Magufuli

Rais Samia amesema amekuta miradi mingi ya Buchosa na Sengerema kwenye mafaili hivyo atakamilisha miradi yote kwa sababu ukweni kuna heshima yake

Mungu mbariki Rais Samia!

samia janeth.png

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mama Mzazi wa Mama Janeth Magufuli ( Juliana Stephano Kidaso) mara baada ya kuwasili Sengerema Mkoani Mwanza tarehe 14 Juni, 2023.​
 
Rais Samia anesema atakamilisha miradi yote ya Sengerema kwa sababu kule ni ukweni kwa Shujaa Magufuli

Rais Samia amesema amekuta miradi mingi ya Buchosa na Sengerema kwenye mafaili hivyo atakamilisha miradi yote kwa sababu ukweni kuna heshima yake

Mungu mbariki Rais Samia!
Kwahiyo isingekuwa ukweni asingekamilisha? huyu maza anadhani wasukuma watamkubali kisa amemtaja sijui JPM?
 
Rais Samia anesema atakamilisha miradi yote ya Sengerema kwa sababu kule ni ukweni kwa Shujaa Magufuli

Rais Samia amesema amekuta miradi mingi ya Buchosa na Sengerema kwenye mafaili hivyo atakamilisha miradi yote kwa sababu ukweni kuna heshima yake

Mungu mbariki Rais Samia!
Kwahiyo isingekuwa ukweni asingekamilisha?
Nyie mlifaidi enzi za Che Nkapa 😄😄
Mpaka anaingia madarakani tayari kilimanjaro kulikuwa na sekondari za kata
 
Rais Samia anesema atakamilisha miradi yote ya Sengerema kwa sababu kule ni ukweni kwa Shujaa Magufuli

Rais Samia amesema amekuta miradi mingi ya Buchosa na Sengerema kwenye mafaili hivyo atakamilisha miradi yote kwa sababu ukweni kuna heshima yake

Mungu mbariki Rais Samia!
Ukweni.... Huo Ukwe unakuja je hapo!!?
 
Aliingizwa cha kiume kwa kuitwa Chifu Hangaya.

Usukumani hakuna Chifu wa kike bali kuna " Ngole" mke wa chifu.

Hangaya ni jina la kiume. Kifupi amedhalilishwa.

Fikiria wewe mwanaume uende Uingereza wakakuite Queen Elizabeth II eti tu umewafurahisha kitu!

Ajabu. Wasukuma wana akili sana
 
Back
Top Bottom