Mtifuano: Ally Karume aitwa Kamati ya Maadili CCM Zanzibar

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,426
Balozi Ally Karume, mwanaccm aliyeshiriki Makandokando yote ya kuhujumu chaguzi za Zanzibar ili kuibeba CCM, na ambaye hivi karibuni ameamua kutubu na kumrejea Muumba wake kwa kusema ukweli mtupu, kwamba CCM bila wizi na mbele ya Uchaguzi huru na haki haiwezi kushinda chochote Zanzibar, hatimaye ameitwa kwenye kamati ya maadili ya chama hicho huko Kisiwandui

Kikao cha kumjadili kimepangwa kufanyika ijumaa tarehe 16/6/2023 huko Kisiwandui.

Toa maoni yako
 
Balozi Ally Karume , mwanaccm aliyeshiriki Makandokando yote ya kuhujumu chaguzi za Zanzibar ili kuibeba ccm , na ambaye hivi karibuni ameamua kutubu na kumrejea Muumba wake kwa kusema ukweli mtupu , kwamba CCM bila wizi na mbele ya Uchaguzi huru na haki haiwezi kushinda chochote zanzibar , Hatimaye ameitwa kwenye kamati ya maadili ya chama hicho huko Kisiwandui

Kikao cha kumjadili kimepangwa kufanyika ijumaa tarehe 16/6/2023 huko Kisiwandui .

Toa maoni yako
Huyu ataenda ACT kama shemeji yake Mansour.

Ilimuuma sana kuenguliwa kugombea Urais.
 
Back
Top Bottom