Je, ikitokea wanaohusika na ubadhirifu wa pesa na Mali ya umma hawajachikuliwa hatua stahiki mwananchi wa kawaida hawezi kuwashtaki?

Nzelu za bwino

JF-Expert Member
Jan 12, 2020
376
450
Salaam wana Jamvi,naomba kuelimishwa ju ya yanayoendelea kila mwaka kuhusu upotevu wa pesa za umma kwenye kila ripot ya CAG.

Kwa kumbukumbu nilizonazo sikumbuki kama kuna mtu amewahi chukuliwa hatua seriously na mamlaka husika.

Ninacho kumbuka ni malumbano yaliyoibuliwa na bunge dhidi ya aliye kua CAG Prof mussa Assad pale aliposema bunge ni dhaifu.

Nakumbuka Prof assad alitoa kauli hiyo baada ya bunge kushindwa kuwachukulia hatua wale wote waliohusika na upotevu wa pesa za wananchi ikiwemo tsh tirion 1.5.kwa wajuzi wa Sheria hivi mwananchi wa kawaida hawezi kumshitaki,mtu au taasis yoyote kuhusu upotevu wa pesa za umma kwakutimia ushahidi wa CAG? Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom