TAKUKURU Ibinasifishwe, ili kudili na ufisadi 

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,532
6,020
Je hatuwezi vinafisisha taasisi ya kudili na Ufisadi? Make kwa ilivyo sasa ni kanya boya tu.


Kutegemea TAKUKURU kwenye kudili na ufisadi ni kuhadaaa umma, TAKUKURU ni wapigaji wakuu sana na pia ni waoga na pia nahisi wako comprimised sana.

TAKUKURU hawana hata uwezo wa kumkamata DAS tu kwa tuhuma za rushwa unategemea nini? yaani hata wale wakuu wa vitengo ndani ya halimashauri TAKUKURU hana uwezo wa kuwakamata labda amri itoke juu.

Hii ni taasisi inadili na mahakimu wa mahama za mwazo, Manesi, Madakitari, walimu, watendaji wa vijiji na kata basi, hata Diwani hawawezi kumkamata.Pia hawawezi kuwakamata Police kwa rushwa.

Serikali kama inataka kudili na ufisadi hii taasisi wapewe nywele laini wasinamia hata kama watalipwa mishahara mikubwa kiasi gani ilimuladi wasaidie zaoezi.

Kwa hii taasisi ya sasa ni kudanganya wajinga kwamba tuna tume ya kudili na ufisadi.

Angali mifano viongozi kama Waziri anavyo fanya dhiara wilayani huko na kukuta upigaji teba wa wazi kabisa na inabidi yeye ndio aagize wahusika wakamatwe na wachunguzwe na TAKUKURU.
 
Utakuja kulalamika hapa tena ikibinafsishwa, Hakuna nchi nzuri ya kuishi kama nchi ya rushwa, Utakuja kunikumbuka siku moja limikukuta
 
Hadi pesa tunazokopa kama Taifa zinaibiwa kwa kiasi kikubwa.

Yarabi tusaidie sisi waja wako.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom