Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari kutokea Kahama zinasema Dr. Mpango yupo wilayani humo tokea juzi. Uwepo wake umekuja na adha itakayobakia mioyoni mwa wakazi wa huko Kwa muda mrefu. Taarifa zinasema jana barabara zote za...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Spika wa Bunge Dr Tulia amesema Wajumbe wa Kamati za Bunge ambao sekta wanazosimamia ziliripotiwa kuwa na mapungufu na CAG mwaka jana wanapaswa kuwa walishaenda kufanya ukaguzi na Majibu wanayo...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amesema wale wote Waliohusika na Ubadhirifu na kutajwa kwenye Ripoti ya CAG Watachukuliwa hatua kali sana. Source: Swahili Times
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Hakuna sababu ya msingi kwa Ripoti ya CAG kujadiliwa November Wajumbe wa PAC na LAAC wanaweza kuwahoji Watuhumiwa wakati Vikao vikiendelea kwa sababu Kamati zenyewe zina Wajumbe wengi hivyo...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Uamuzi wa kupeleka vyura wa Kihansi Marekani, ulifanywa na Wizara ya Nishati na Madini mwaka 2000. Waziri akiwa Abdallah Kigoda na Rais alikuwa Benjamin Mkapa. Vyura 500 walipelekwa Marekani...
18 Reactions
64 Replies
6K Views
Wanabodi, Preamble! Japo ajali ni ajali tuu, huweza kutokea, popote kwa yeyote kwa sababu au bila sababu! Ajali yoyote ambayo inapotokea na kusababishwa na natural causes, ambapo ilikuwa...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
CCM ndio wenye serikali, ilani ya CCM haikubaliani na matendo ya ubadhirifu. Ni wakati Sasa chama kijibainishe kwamba hao wabadhirifu wanawajibika binafsi, na chama hakikuwatuma, tena karibu wote...
0 Reactions
17 Replies
892 Views
Toka Freeman Mbowe atoke jela/ gerezani, ameshakutana na Rais Samia mara kadhaa sasa. Bado sijui na sielewi kwa nini hasa wamekuwa wakikutana kutana. Ni kweli kuwa Mbowe alikamatwa na kufungwa...
33 Reactions
64 Replies
4K Views
Miaka 6 ya utawala wa Mwendazake ilikua ya Machozi, Jasho na Damu kwa Watanzania. Haya ni baadhi ya matukio niliyoyakumbuka kwa haraka, baadhi yalitokea nikiwa huko nyumbani na mengine yametokea...
42 Reactions
207 Replies
14K Views
Tuanzie kwa Baba wa Taifa Mwl. J. K. Nyerere hadi uchaguzi wa 2025. Ni uchaguzi upi ambao ulikuwa huru na haki? Ikumbukwe enzi za Mwalimu, uchaguzi wa Rais ilikuwa ni Nyerere against kivuli...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Wazungu wanao msemo wao maarufu usemao "nionyeshe rafiki zako ili nikwambie tabia yako", wakimaanisha kuwa kama ukiwa na marafiki shoga na wewe upo uwezekano mkubwa ni shoga vilevile au huuchukii...
15 Reactions
142 Replies
9K Views
1. Umri (uzee), kwa umri wake anatakiwa kuwa nyumbani analea wajukuu kama JK 2. Huduma za jamii kuzorota 3. Pesa za umma kupigwa ovyo 4. Serikali kukosa fedha.. na utegemezi kwa wafadhili na...
18 Reactions
105 Replies
5K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UTEUZI WA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA UTANGULIZI 1. Uteuzi wa Wajumbe wa Bunge la Katiba Unatawaliwa na...
31 Reactions
735 Replies
109K Views
Pengine wanajua ama hawajui lakini ndivyo ilivyo. Chukua hesabu za haraka kama shule za sekondari zipo zaidi ya elfu 5 na Kila shule ya sekondari Kuna walimu walioajiriwa kama walimu wakafundishe...
6 Reactions
54 Replies
5K Views
Salaam Wakuu, Kwenye hii picha kuna nguo na viatu vya aliyekuwa rais wa Tanzania Hayati John Magufuli. Tutumie picha hii kutafakari Watanzania tulipo, Tulipotoka na tunapoenda? Chemsha bongo...
0 Reactions
4 Replies
586 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuanza ziara kabambe ya Kikazi kwenye Kanda ya Kusini. Katibu wa Kanda hiyo Governor Kaduma amewaambia waandishi wa habari Mjini Masasi...
10 Reactions
49 Replies
4K Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, (Mb) ameipongeza Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa Kuratibu vyema mashindano mbalimbali yanayofanyika ndani na nje ya...
0 Reactions
0 Replies
728 Views
Juzi kumefanyika Mabadiliko ya Watendaji wa Tume ya Uchaguzi kwa Kumwondoa Bwana Mahera na Kumweka Bwana Kailima kuwa Mkurugenzi wa Tume Ya Uchaguzi. Mabadiliko hayo hayana tija yoyote kwa tume...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Mabingwa wa Afrika wa Mpira wa Miguu kwa Shule za Sekondari ambao ni Shule ya Fountain Gate wakiwa Bungeni jijini Dodoma kwa mwaliko wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim...
0 Reactions
2 Replies
893 Views
Tangu enzi za wizi wa Tangold na Meremeta, wizi wa fedha za Tegeta - Escrow na hata sasa wizi unaonekana kwenye Ripoti ya CAG, kila hatu ya wizi huo wahusika wakuu huwa ni wasomi wabobevu wa fani...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…