Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watu wenye kutupia mavazi ma scarf na viwalo kujinadi uzalendo kama hivi: Ni wa kuogopa kuliko ukoma. Nyerere (rip) asinge wastahi majizi yote yajifichayo kwa kutanguliza dhana ya uzalendo...
0 Reactions
0 Replies
411 Views
Nashauri CAG awe anakuja na TOTAL ya fedha yote iliyopotea kwa mwaka husika!Lengo ni kutaka kujua angalau Serikali iweze kuona ukubwa wa Tatizo husika! Nawasilisha kwako CAG. Sent from my...
0 Reactions
0 Replies
588 Views
Kwa wasiomfahamu vizuri mh Ezekiel Wenje ni kwamba: Wenje ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Ziwa Wenje ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema Wenje ni Mbunge wa zamani wa Nyamagana Wenje ni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naona jukwaa limepoa sana jioni hii ya leo. Tundu Lissu alikuwa anapasuka sana pale mjengoni dhidi ya dhuluma na wizi wa mali za umma, hakuanza leo wala jana. Msikilizeni anavyo wakemea...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
CAG katoa ubadhirifu na upotevu wa mabilion ya shiling, lkn sijaona ni kiasi gani kwa ujumla kimepotea ambacho kama kingekusanywa kingerumika kulipia miradi mbalimbali ya serialli. Mwenye kujua...
0 Reactions
2 Replies
388 Views
TAMISEMI ni wizara kubwa sana yenyewe tu ni serikali inayojitegemea, waziri ninayemwona kuifaa ni Ummy Mwalimu. Huyu mama yuko makini hacheki makima yaliyojaa halmashauri. Mwingine profesa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
MJADALA wa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) unaoendelea baada ya kuwasilishwa kwake bungeni Dodoma wiki hii, umeacha nje jambo moja – nafasi na umuhimu wa Rais Samia...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Lengo la serikali kuwekeza katika mkundombinu iliyotuletea huduma ya mabasi ya mwendokasi ni kupunguza usumbufu utokanao.na foleni kubwa za magari wakati wa kuingia na kutoka mijini. Hasa nyakati...
1 Reactions
8 Replies
762 Views
Je hatuwezi vinafisisha taasisi ya kudili na Ufisadi? Make kwa ilivyo sasa ni kanya boya tu. Kutegemea TAKUKURU kwenye kudili na ufisadi ni kuhadaaa umma, TAKUKURU ni wapigaji wakuu sana na pia...
2 Reactions
5 Replies
911 Views
Wote tunajua nguvu aliyonayo huyu jamaa wa Tanga former DGIS katika uongozi wa Nchi kwa sasa. Hata huyu bwana aliyewekwa toka Kigoma kawekwa na hao hao wenye nguvu. Ummy Mwalimu anatumia sana...
20 Reactions
47 Replies
7K Views
Hakika sasa MADHARA ya KINGA kwa VIONGOZI yameanza Kuonekana.Wenye AKILI KUBWA tulihoji kwanini MAGUFULI anataka VIONGOZI wawekee KINGA ya KUTOSHTAKIWA WANATAKA kutufanyia nini KIBAYA WANANCHI ili...
1 Reactions
2 Replies
851 Views
Habari za leo ndugu wakuu! Nawasalimu kwa jina la JMT. Baada ya salamu naomba niingie kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Nafahamu wengi wenu hampendi kusoma habari ndefu...
5 Reactions
11 Replies
931 Views
Miaka kadhaa imepita baada ya Tanzania kushuhudia vifo vilivyotokana na usanii wa "Babu wa Loliondo". Hivi karibuni kule micheweni Zanzibar palizuka uzushi mwingine wa uwepo wa maji yanayotoka...
1 Reactions
6 Replies
789 Views
Salaam wana Jamvi,naomba kuelimishwa ju ya yanayoendelea kila mwaka kuhusu upotevu wa pesa za umma kwenye kila ripot ya CAG. Kwa kumbukumbu nilizonazo sikumbuki kama kuna mtu amewahi chukuliwa...
0 Reactions
0 Replies
585 Views
Kila siku nawaambia, Rais Samia, hafai kua Rais, Nchi hii inahitaji mtu anayejitoa Maisha yake Kwa ajili ya kupigania Taifa lake Kama alivyofanya Hayati John Joseph Pombe Magufuli !! ... Hivi Kwa...
21 Reactions
70 Replies
4K Views
Naomba muupokee huu Ujumbe wa Dr Slaa kama ndio salamu za Pasaka Mbowe na wenzake kupitia Serikali ya JMT wanatengeneza Katiba Mpya ya Wanasiasa Katiba Mpya ya Wananchi itatengenezwa na...
8 Reactions
31 Replies
2K Views
Kuna vitu vya aibu kuvifanya hata kama utafanya faragha, hivyo hivyo hata kuwa mfuasi wa jamii primitive unajisikiaje? Hiki ni kiwango cha juu kabisa cha ujinga kwa hao walio chini na huyo wa juu.
1 Reactions
5 Replies
579 Views
Kama kuna idara au taasisi au mtu binafsi mwenye Orodha tajwa hapo juu aiweke hapa tafadhali. Kukosekana kwake kutaonyesha ni jinsi gani serikali haina database ya watumishi hapo na ni moja ya...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Kuwakamata mafisadi, wabadhilifu wa fedha za umma, na wala rushwa ni muhimu katika kupambana na ufisadi na kuhakikisha kuwa fedha za umma zinatumika kwa manufaa ya wananchi. Kuna mbinu kadhaa za...
0 Reactions
6 Replies
970 Views
Kuna sababu kadhaa zinazoweza kusababisha mashirika ya serikali kuingia hasara na kushindwa kutoa gawio kwa serikali. Baadhi ya sababu hizo ni: 1. Uongozi mbaya: Mashirika ya serikali yanaweza...
0 Reactions
3 Replies
720 Views
Back
Top Bottom