Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nchi hii ina watu wengi wasomi na wenye umaarufu na ushawishi katika jamii lakini wamekaa kimya kabisa kuhusu huu upotevu wa zaidi ya shilingi bilioni 1.5 uliowekwa hadharani na mbunge Zitto kabwe...
34 Reactions
240 Replies
24K Views
Tutapata muda kujadili taarifa ya ripoti ya CAG. Lakini tusiache na kujisahaulisha kwamba Rais Samia ndiyo aliagiza ripoti iwe na uwazi zaidi ili serikali iweze kufanya maamuzi. Sasa tusije kuona...
2 Reactions
5 Replies
628 Views
Sasa Rais Samia atengue uteuzi wa balozi siro aje Tanzania ahojiwe zilipo billion 4.8 alizoiba na genge lake pale makao makuu ya wizara ya mambo ya ndani kupitia Sacco's ya jeshi ,alikuwa anaagiza...
9 Reactions
40 Replies
4K Views
Watanzania hatuongopi mpaka tugombezwe, huu ndio utamaduni na Rais amegundua kwamba kuna wakati lazima uonyeshwe ukali sana kwa mabadiliko kutokea. Tatizo sio mifumo tena ni wezi unao anzia juu...
0 Reactions
0 Replies
572 Views
Habari wakuu, Tanaambiwa kuwa moja ya kazi ya mbio za mwenge ni kung'mua miradi iliyojengwa chini ya kiwango na kukataa kuifungua. Japo kuna mkaguzi mkuu(CAG), wakaguzi wa ndani(Internal...
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Ninavyoelewa mimi madai uandaliwa na anayedai na kuwasilisha pamoja na vielelezo Kwa mdaiwa. Kama ndivyo naamini kampuni iliyotengeneza ndege zetu ndiyo iliyowasilisha madai ya kiasi wanachoidai...
4 Reactions
54 Replies
3K Views
Wanajamvi Heri ya Pasaka! Nimekuwa nikifuatilia kila panapotakiwa kutolewa taarifa yenye maslahi kwa nchi yetu pendwa Tanzania panatanguliwa na taarifa zenye taharuki na mshtuko. Hivi karibuni...
1 Reactions
1 Replies
747 Views
Natafakari sana lakini sipati majibu, kati ya taasisi ya umma yenye magari ya kifahari halafu Kwa idadi kubwa basi ni hawa TRC. Wanamiliki magari mengi tena ya kifahari lakini sijui Kama taifa...
16 Reactions
103 Replies
10K Views
Ndege zinazotumiwa na ATCL zinamilikiwa na Serikali kupitia TGFA. Manunuzi ya ndege hufanywa na TGFA na kisha kukodishwa kwa ATCL. Hivyo, ATCL haihusiki na mchakato wa manunuzi ya ndege. Eng...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Jf, members! Salaam! Nauliza iwapo watu wenye uelewa wa hali ya juu kama wale wa CCM iwapo wanaweza shangilia au kuwa wafuasi wa CDM, ACT, NCCR, au CUF. Nauliza hivi sbb hizi:- (a). CDM -...
2 Reactions
42 Replies
2K Views
Tukubali kwamba Rais amekwazika sana na ripoti ya CAG. Nilipomsikiliza akitamka neno stupid nilimkumbuka Rais wa sasa wa Zambia Hichilema alipowaambia Wazambia kwamba, siku anaingia ofisini...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Leo baada ya kuwasilishwa kwa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na ile ya TAKUKURU Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha kuchukizwa sana na kitendo cha ongezeko la fedha...
9 Reactions
60 Replies
5K Views
Anaandika Malisa GJ Sabaya amekiri makosa yote yaliyokua yanamkabili. Uhujumu uchumi ameomba "plea bargaining" na ametakiwa kulipa faini ya milioni 5. Yani fedha zote alizodhulumu kwa...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Nimejiuliza mbona makelele yamekuwa mengi sana kwenye hii ripoti ya CAG?? Mbona jiwe alipomtumbua prof. Assad kwa kuonesha 1.5 trilioni haijulikani ilipo (ilivchukuliwa na jiwe mwenyewe) hakukiwa...
12 Reactions
116 Replies
5K Views
Hapa tulipo kwa nchi ilipopitia enzi za mwenda zake jamaa amepambana sana kuinua uchumi na kujenga mahusiano na mataifa ya nje na wadau mbalimbali wa maendeleo, uwekezaji umekua hakuna TRA kutumia...
2 Reactions
15 Replies
837 Views
Nimefanya utafiti kidogo juu ya habari mbalimbali zinazoandikwa juu ya Tanzania kiuchumi kwa kipindi cha miezi 3 sasa. Kusema kweli hakuna habari mbaya utakayoikuta juu ya Tanzania kiuchumi...
13 Reactions
152 Replies
10K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Edward Mjema kuanzia Jana Alhamisi Aprili 06, 2023 ametoa futari kwa watu na makundi mbalimbali kwenye Jamii kwenye mwendelezo...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimejaribu kusoma ripoti ya CAG 21/22 kwenye upande wa mashirika ya umma kwa sehemu tu, Watanzania wenzangu hali ni mbaya sana, pesa nyingi sana zinapotea. Nimeshangaa kuona baadhi ya mashirika...
1 Reactions
1 Replies
319 Views
Back
Top Bottom