Nakazia😄Mama bado anadai...Mitano Tena.
Upo sahihi kabisa1. Umri (uzee), kwa umri wake anatakiwa kuwa nyumbani analea wajukuu kama JK
2. Huduma za jamii kuzorota
3. Pesa za umma kupigwa ovyo
4. Serikali kukosa fedha.. na utegemezi kwa wafadhili na mikopo.
5. CCM kukosa mwelekeo..
Nakazia Mpaka Amalize Atakalo Yeye MwenyeweMama bado anadai...Mitano Tena.
🤣🤣😂😂😂🤣🤣Maza asiyalembulie sana majizi.
Thubutu....Watakao mtoa ni wana ccm
Huyo ni failure kutoka day one! Mtu hana record yeyote ya utendaji unategemea miujiza?Maza asiyalembulie sana majizi.
Unadhani wataingia wale walamba asali?1. Umri (uzee), kwa umri wake anatakiwa kuwa nyumbani analea wajukuu kama JK
2. Huduma za jamii kuzorota
3. Pesa za umma kupigwa ovyo
4. Serikali kukosa fedha.. na utegemezi kwa wafadhili na mikopo.
5. CCM kukosa mwelekeo..