Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 22,603
- 29,748
Tuanzie kwa Baba wa Taifa Mwl. J. K. Nyerere hadi uchaguzi wa 2025.
Ni uchaguzi upi ambao ulikuwa huru na haki?
Ikumbukwe enzi za Mwalimu, uchaguzi wa Rais ilikuwa ni Nyerere against kivuli.
Hata baada ya vyama vingi hakujawahi kuwa na TUME HURU YA UCHAGUZI ambapo kikundi cha waratibu wa wizi wa kura kimekuwa kikipitisha ushindi usio haki dhidi ya kura za wananchi.
Labda mimi ni junior mno sielewi historia. Je lini Tanzania ilikuwa na uchaguzi huru na haki?
Kwa nini Serikali inatumia mabavu kupitiliza kuiba kura kwa niaba ya CCM?
Akina Polepole, Bashiru na wenzao ushiriki wao katika WIZI MKUU wa kura 2015. Wana guts gani kujiona wasafi na wanaweza kuivusha nchi wakati ni CCM walewale majizi na majambazi ya Demokrasia?
Tutafakari