Kassim Majaliwa: Waliohusika na kutajwa Ripoti ya CAG Watachukuliwa hatua kali

Ili tusilaze kipolo lazima tuanze na.wa mwaka jana, pm alikuwa hodari ila.kashamezwa
 
Waziri mkuu mh Kassim Majaliwa amesema wale wote Waliohusika na Ubadhirifu na kutajwa kwenye Ripoti ya CAG Watachukuliwa hatua kali sana.

Source: Swahili Times
Sina wasiwasi na anachokisema waziri mkuu. Ila ninachoshauri watuhumiwa wote wafungiwe account zao za bank, na mali zao wanazomiliki ziwekwe chini ya ulinzi wa serikali kwa muda, ili wasije wakachomoa hela na kutimkia nchi zingine.
 
Sijawahi kumuamini huyu jamaa
emoji848.png
Hujawahi kumuamini huyu jamaa au hujawahi kumuamini mwanasiasa?
 

Attachments

  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    27.8 KB · Views: 2
  • download.jpeg
    download.jpeg
    10.7 KB · Views: 1
Sina wasiwasi na anachokisema waziri mkuu. Ila ninachoshauri watuhumiwa wote wafungiwe account zao za bank, na mali zao wanazomiliki ziwekwe chini ya ulinzi wa serikali kwa muda, ili wasije wakachomoa hela na kutimkia nchi zingine.
Kiongozi aliyopo juu yake ndo tatizo kubwa kwa nchi yetu ..
 
Muda unaenda lakini kauli na matendo hayaonyeshi uhalisia wa jambo. Waziri mkuu ana miaka 7 katika ofisi na pengine atakuwa waziri mkuu wa kwanza kudumu kwa kipindi kirefu zaidi endapo Samia akishinda tena na kuwa Rais kwa kipindi 2025 na yeye kuteuliwa tena kukamata kiti Cha uwaziri mkuu.
Jambo langu ni moja.....matamko yake kupambana na wabadhirifu wa fedha za umma style ni moja .....kukemea na kuapa kuwashughulikia lakini horaaaaa vitendo. Tuwe serious na kauli zetu. Fedha hizi zinazofujwa ni Kodi ya wananchi. Tunakopa na inabidi tulipe kitu ambacho matunda yake yameonekana. CAG Kila mwaka anakuja na hoja na kuonesha madudu katika idara mbalimbali. Tuna Takukuru na idara ya usalama lakini nchi ni kama inaigiza. Ifike wakati kauli zifanye kazi.
20230413_184144.jpg
 
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amesema wale wote Waliohusika na Ubadhirifu na kutajwa kwenye Ripoti ya CAG Watachukuliwa hatua kali sana.

Source: Swahili Times
SIO RAHISI HII REPORT ya CAG sio ya KWANZA yenye UFISADI MKUBWA Zipo nyingi na WAHUSIKA hawakufanywa Chochote
 
Back
Top Bottom