Kuuliza wala siyo ujinga wana JF.
Imenibidi kuwauliza nyie labda kuna mtu ana kumbukumbu ya wapi vilienda vile vichwa vya treni vilivyo okotwa pale bandarini.
Maana tuliambiwa havikuwa na...
Mh Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Hesabu za ATCL zinaonyesha Shirima hilo linapata hasara kubwa kwa sababu tu ndege zinamilikiwa na Wakala wa Ndege za Serikal na hivyo Serikal kulipwa fedha...
Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema kwa mujibu wa kanuni, Ripoti ya CAG iliyowasilishwa bungeni itaanza kushughulikia na PAC mwezi August na majibu yatapelekwa Bungeni mwakani 2024.
Hivyo...
Kwanza Mhe. Spika Tulia nakutakia Jumatatu ya Pasaka yenye Baraka.
Kama ikikupendeza tufanyie wepesi hayo mahojiano ya Kamati za Bunge na Watuhumiwa wa Ripoti ya CAG yafanyike mubashara...
Aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Ilemela jijini Mwanza kupitia Chadema bwana Ezeckia Wenje baada ya kusoma ufisadi uliopo kwenye ripoti ya CAG amelazimika kumkumbuka aliyekuwa rais wa tano wa...
Mwigulu Nchemba kwenye utetezi wake bungeni amemtaja Rais kuwa ndiye anayeidhinisha fedha zote za Serikali jambo ambalo limezua utata na hisia kubwa kwa wananchi kuhusiana na ufisadi mkubwa...
Kwanza nianze ujumbe wangu kwa kumtanguliza mwenyezi Mungu alietupa uhai, afya, nguvu na akili ya kusimamia mfumo wa maisha yetu ya kila siku.
Pili nitumie tena nafasi hii kuwasalimu watanzania...
GAG tunaomba report za mwaka 2021/2022 tu. Nimekuwa nafatilia report ya CAG toka itangazwe karibu wiki moja iliyopita. Nilitegemea CAG atatupatia report ya Mwaka huu 2021/2022, lakini CAG...
Tumeona mpaka gazeti la mwananchi wameingia kwenye upuuzi wa kuandika habari zisizo na ukweli wowote kuhusu Chato, hospital ya Kanda ya Chato imekuwa msaada mkubwa Kwa wananchi wa Kanda ya ziwa...
Hapa imetumika chenga ya mwili!! Kwenye taarifa moja kutolewa habari ya ongezeko la mishahara kwa asilimia 23.3 kwa kima cha chini na habari ya kupandisha mafao ya uzeeni huko PSSSF toka asilimia...
Habari za pasaka ndugu wanajukwaa wakati wengine wakiendelea na swaum nawaambia kazi iendelee.
Ninapendekeza ofisi ya Rais Ikulu kupitia kurugenzi ya mawasiliano wawe na ukurasa wao hapa kama...
Kilichoelezwa kwenye ripoti ya CAG kinatosha kutuaminisha kwamba serikali ya CCM ni wezi? Au itoshe kusema serikali ya CCM imeshindwa kusimamia sheria? Au basi tuseme serikali ya CCM imelegalega...
Salam wakuu,
Nimeingia katika tafakari ya muda baada ya kuona Matukio mawili yakitendeka ghafla ghafla ikiwa ni saa Chache kabla Chama Cha ACT Wazalendo hawajafanya uchambuzi wa ripoti ya CAG...
SHORT COURSE YA SIASA MIEZI MITATU.
Anaandika, Robert Heriel
Mkufunzi
Najua kila mtanzania ni mwanasiasa lakini wengi wenu mnataka muwe certified. Mambo ya makaratasi au sio. Kumiliki gamba ndio...
Rejelea kifo cha maraisi wakiwemo Saadam Hussein, Gaddaf na wengineo wengi ikiwemo wa Africa kama Idd Amin na wengineo hii inadhihirisha kuwa raisi anayekandamiza demokrasia basi hung'olewa...
Ni masaa sSasa yamepita toka report ya CAG isomwe mbele ya Rais na kuibua madudu kibao lakini mpaka Sasa wanaojiita wachambuzi na wapinga ufisadi wa Serikali ya awamu ya tano wako kimya.
Twitter...
Chadema kwa nini hamzalishi tena vijana aina ya Ben Saanane, John Mnyika, John Heche, Boniface Jacob, Zitto Kabwe, Godbless Lema, Ephata Nanyaro, Halima Mdee, Upendo Peneza?
Hawa walikuwa wanajua...
Mamlaka za Tanzania zimeombwa kuwaachilia huru Wafungwa wote walio kwenye Jela zote Nchini, kwa vile rekodi zinaonyesha kwamba katika Wafungwa ambao wamo Jela na Magereza yote ya Tanzania hadi...
Wakati wa Serikal ya Awamu ya 5 ACT Wazalendo ndio chama kilichoonesha kusimamia na kutimiza matakwa ya kisheria na kikatiba katika kila angle
Sijajua awamu hii wamekumbwa na nini kwa sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.