Kumtoa nyoka pangoni

Mkandara

JF-Expert Member
Mar 3, 2006
15,772
8,958
Kabla sijaweka nia ya kuandika makala tata kidogo, ahli ya yote yanibidi nianze kuuliza. Nimeona clip moja mitandaoni inasambaa kuhusu hotuba ya rais Samia akisema haya:-

"Fanyaneni Nyie Wakubwa kwa Wakubwa mnaojua hizo Haki zenu, msituharibie watoto zetu"

Je, ni kweli kasema maneno haya na kamaanisha vile vile watu vilivyoelewa?
 
Duh!

Binafsi sijui kama ni "kweli kasema" hayo maneno, kwa maana ndiyo mara ya kwanza nayasoma hapa toka kwako. Kwa hiyo, sehemu ya kwanza ya swali lako, jibu ni hilo.

Kuhusu sehemu ya pili kama "kamaanisha vile vile", hapa sioni utata wowote kuhusu maana iliyolengwa. Anayetaka kuweka maana tofauti na inayoonyeshwa na hayo maneno atakuwa anatafuta tu ufundi wa kupindisha maana iliyo wazi kwa kila mtu mwenye akili ya kawaida kuelewa maana iliyolengwa.
 
Duh!

Binafsi sijui kama ni "kweli kasema" hayo maneno, kwa maana ndiyo mara ya kwanza nayasoma hapa toka kwako.
Kwa hiyo, sehemu ya kwanza ya swali lako, jibu ni hilo.

Kuhusu sehemu ya pili kama "kamaanisha vile vile", hapa sioni utata wowote kuhusu maana iliyolengwa. Anayetaka kuweka maana tofauti na inayoonyeshwa na hayo maneno atakuwa anatafuta tu ufundi wa kupindisha maana iliyo wazi kwa kila mtu mwenye akili ya kawaida kuelewa maana iliyolengwa.

Kama ni mthihani wa Imla hala umepata 100 kwa majibu mazuri
 
Kabla sijaweka nia ya kuandika makala tata kidogo, ahli ya yote yanibidi nianze kuuliza. Nimeona clip moja mitandaoni inasambaa kuhusu hotuba ya rais Samia akisema haya:-

"Fanyaneni Nyie Wakubwa kwa Wakubwa mnaojua hizo Haki zenu, msituharibie watoto zetu"

Je, ni kweli kasema maneno haya na kamaanisha vile vile watu vilivyoelewa?
Eh ..! Itafute mkuu tuwekee hapa...
 
Kama hiyo quote yako ni ya ukweli, nimeitafakari hii kauli;

"Fanyaneni nyie wakubwa kwa wakubwa mnaojua haki zenu"

Hiyo kauli inaashiria mambo mawili..

- Kwanza amejua hayo mambo yapo, ndio maana hakuhangaika kuzungumza lolote alipokuja Kamala Harris.

- Pili kazungumzia haki, najiuliza hiyo haki ni ipi? ile inayoishia kufichwa chumbani na kuta za nyumba? najiuliza hivyo kwasababu najua hao wanaoambiwa ni haki yao, nao wanajua wakitoka nje watakutana na sheria zinazowabana..

Having said that; najiuliza tena, inawezekana Samia amejua uwepo wa hiyo sheria [Penal Code] unaminya haki za hao jamaa ndio maana amewaruhusu wafanyane wao kwa wao?

Japo pia nikienda kwenye Katiba, Article 29 [5] naona inawabana wasifanye mambo yao kwa uwazi, kiasi ambacho watawakwaza members wengine wa society yetu, sasa kauli ya Samia kuwaruhusu "wafanyane wao kwa wao" haipingani na hii sheria?
 
Kabla sijaweka nia ya kuandika makala tata kidogo, ahli ya yote yanibidi nianze kuuliza. Nimeona clip moja mitandaoni inasambaa kuhusu hotuba ya rais Samia akisema haya:-

"Fanyaneni Nyie Wakubwa kwa Wakubwa mnaojua hizo Haki zenu, msituharibie watoto zetu"

Je, ni kweli kasema maneno haya na kamaanisha vile vile watu vilivyoelewa?
Ndiyo kamaanisha hivyo. Wazanzibar huwa hawana kuremba wapo straight kwenye kauli zao na wanamaanisha wanachosema.
 
Nikiwa bara nilikuwa nasikia ukanda wote wa Pwani mambo hayo ni kawaida.
Nilipofika mwenyewe nikahakikisha!
Kurudi bara mambo yale yale ya Pwani na kule yapo!
Tatizo ni kubwa sana ndugu zangu.
Bahati mbaya solutions zetu zinaanza kwa kuwanyanyapaa wahusika!
 
Jibu hoja,usiudhitishie ujinga wako kwa kutukana.wajinga na vilaza woote huwa hawana hoja,wao ni matusi na kejeli.
Kuna hoja gani hapo

Ipo wazi kwa kauli hiyo Rais halalalisha uchoko kwa watu wakubwa.

Lakini hilo halizuii maoni yangu ya mwanzo
 
Ndio alisema kipindi akiwa makamo aliwalenga mafataki ambao wanasema wazee wenzao sio watamu kwa hiyo alitoa wito waache hizo tabia sivyo watakutana na mkono wa sheria
Sio wakati akiwa Makamu kayasema hivi juzi akiwa rais wa nchi..
 
Kuna hoja gani hapo

Ipo wazi kwa kauli hiyo Rais halalalisha uchoko kwa watu wakubwa.

Lakini hilo halizuii maoni yangu ya mwanzo
Hakuna alokuzuia kuonyesha Ujinga wako, maana ni haki yako kama ilivyo haki ya haooo..
 
Back
Top Bottom