Asanteni baadhi ya watanganyika mmeanza kuelewa.
1. Mambo madogo yanakuwa makubwa, Ajira ni ngumu.
2. Awamu hii mpaka kujitolea /intern ulipa hela wewe unayejitolea.
3. Mazingaombwe ya Tanesco...
Kwamba sisi tuaambulia $ 600+ milioni wakati wao watavuna mabilioni ya dollars kila mwaka.
Madini ya graphite yanapatikana kwa wingi huko Lindi wakati niobium ipo tele pale Panda Hill Mbeya. Kwa...
KUMBUKUMBU;NITAONGEZA MISHAHARA KABLA SIJAONDOKA MADARAKANI-RAIS MAGUFULI.
Matumaini ya wafanyakazi ya kusikia habari njema za kuongezewa mishahara yaliota mbawa baada ya Rais Dk John Magufuli...
MBUNGE MHE. EDWARD KISAU - TUMEPOKEA FEDHA ZA MIRADI YA UJENZI WA MADARASA KATIKA SHULE ZA MSINGI KONGWE
JIMBO LA KITETO - TAARIFA KWA WANANCHI WA KITETO
Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe...
JIMBO LA KITETO LAPOKEA SHILINGI BILIONI 1.6 KWA AJILI YA UJENZI WA MIRADI YA MAENDELEO
Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe. Edward Ole Lekaita Kisau anapenda kuwafahamisha wananchi kuwa Jimbo la...
Kwa bashasha nilizoziona jana kwa Mawaziri wa Kazi na Utumishi kadhalika kwa Waziri mkubwa wao ni wazi Watumishi wategemee Jambo Moja Zuri leo hii
Nisiseme mengi ila hapa Morogoro Matumaini ni...
Watumishi ambao ni daraja kati ya serikali na wananchi wanaisubiri hii siku kwa matumaini makubwa sana.
Kundi hili lilibanwa mbavu na raisi aliyekutangulia ingawa haikuwa kwa Nia mbaya Bali...
Moja ya Jambo ambalo mataifa yaliyostaarabika wamefaulu nikuwaakikishia wananchi wake haki ya kuishi. Kwamba hakuna mtu atatoa uhai wa mtu akabaki salama; lazima tu abainike.
Kwa Tanzania hali ni...
Ujenzi wa miradi mbalimbali ya barabara unaofanywa na Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania TANROADS umetajwa kuwa neema, manufaa na kufungua fursa mpya kwa watanzania hasa kwa kuunganisha...
Kati ya viongozi ambao hawakupaswa kuandikwa hata kwenye vitabu vya kihistoria ni chifu Mangungo wa Msovero maana ni kielelezo kibaya sana na cha aibu kwa Taifa letu.
Siku nikifanikiwa kuwa kwenye...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema ametoboa siri aliyekuwa Katibu CCM, Ally Bashiru kutaka kumlipia deni alilokuwa anadaiwa bungeni kwa...
Bila ya shaka utakuwa umesikia leo taarifa ya lile daraja refu zaidi kupita bahari limefunguliwa huko China leo. Daraja hilo liitwalo Daraja la Qingdao Jiazhou lina urefu wa kilometa 42 (sawa na...
Ni swali tu kwa Mamlaka za mishahara za Tanzania na labda kwa wafanyakazi wenyewe, Tunatambua kwamba Tanzania ni kama vile haina Chama cha Wafanyakazi, maana viongozi wa kinachoitwa Chama cha...
Viongozi wanapopata ajali tumezoea kuona viongozi wenzake kupitia akaunti zao binafsi za mitandao ya kijamii zikitoka pole Ila kwa huyu Naibu Waziri watu wamekaa kimya.
Sidhani kama inaleta...
Kama Rais hana muda wa kupokea waandamanaji wote basi waratibu wa sherehe hizi za Mei Mosi walipaswa kupunguza makundi ya waandamanaji.
Watu wamepoteza muda wao kujiandaa, wakatafuta na t-shirts...
Lusubilo Mwakabibi aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, alitimuliwa kwenye kazi hiyo na kushitakiwa Mahakamani kwa Uhujumu uchumi, ambako aliachiwa kwa dhamana huku kesi yake ikipangiwa...
Akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara huko Sengerema , Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema , Ezekia Wenje amesema kwamba kila Wilaya nchini Tanzania ina DSO mwenye mafunzo yote na ina OCD mwenye...
Za ndani kabisa zinadai risala ya shirikisho la umoja wa vyama vya wafanyakazi imejaa "asante" na "pongezi" nyingi kwa mama.
Yaani risala haina tofauti na ile inayosmwa na UVCCM. Vyama vya...
Kama umemsikiliza vizuri Utouh alipokuwa anaongea juzi, ni kwamba ingawa katika Halmashauri umetokea ubadhirifu mkubwa na labda wizi, lakini kwa ujumla, Serikali Kuu imeweza kupunguza ubadhirifu...
Ikiwa yamebakia masaa machache kabla ya kuhitimishwa kwa muda uliotolewa na Mahakama, wa Cyprian Musiba kumlipa Ndugu Bernard Membe kitita cha hela Taslim zaidi ya Bil 9 za kitanzania , na huku...