Nchi mbili zilizoungana, Tanganyika ina watu mil 59.8, Zanzibar ina watu mil 1.8

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,578
217,951
Nchi hizi kwa mujibu wa mkataba wa Muungano zinapaswa kuwa na haki sawa kwenye mgawanyo wa mambo yaliyoainishwa kwenye kinachoitwa "masuala yahusuyo Muungano' zikiwemo baadhi ya Wizara kuongozwa na Wazanzibar.

Tanganyika ina watu milioni 59.8 huku Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ikiwa na watu milioni 1.8 , hesabu hii imebainika leo kwenye Matokeo ya Sensa na Makazi yaliyotangazwa na Rais Samia Suluhu.

TOA MAONI YAKO
 
Hayati Mwl Nyerere alituingiza chaka,huu muungano sioni faida yake hata kidogo zaidi ya kutujazia wapemba huku Tanganyika.
Kipindi hicho palikua na msemo 'zumari ikichezwa Zanzibar,afrika mashariki yote itacheza' ukaogopwa ushawishi wa Zanzibar,sababu tulikua na agenda zetu kwenye 'majoho' tukaona tuingie muungano
 
Back
Top Bottom