Rais Samia ni dhaifu kulingana na mambo yanavyokwenda?

The Supreme Conqueror

JF-Expert Member
Feb 13, 2017
320
899
Wakuu habari za mchana?

Ni matumaini yangu kuwa mko poa,katika siku za hivi karibuni kumezuka mijadala kadhaa mitaani, katika mitandao na hata kimataifa kuwa uongozi wa Rais Samia umeghubikwa na sintofahamu nyingi hususan katika masuala muhimu na ya msingi yanayolenga maisha ya wananchi moja kwa moja amekuwa mzito kuchukua maamuzi sahihi na kwa wakati kama ilivyokuwa kwa watangulizi wake ambapo pale inapoonekana wizara inalegalega katika utendaji waziri husika alikuwa anawajibishwa bila kupepesa jicho lakini kwa upande wake hali imekuwa tofauti kidogo

Mwanzo Wananchi waliona kama ukombozi umekuja kwa wakati sahihi ukizingatia hali ya kisiasa ambayo nchi ilipitia kayika miaka 5 nyuma. Aliitwa mponyaji na mleta maridhiano ya kitaifa na vyama vyote vya siasa nchini na tulishuhudia viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa vikienda Ikulu kuzungumza na mkuu na nchi hadi kuibuka msemo uliopendwa na kuvuma zaidi ya "Mama anaupiga mwingi"

Tulitegemea Wasaidizi wake wangemsaidia kushinda mechi tena mapema tu lakini hali imekua tofauti ghafla kwa Watazamaji na Mashabiki wa timu kwani wanaona kama timu yao inazidi kulemewa na hata zile pasi zilizokuwa zinapigwa mwanzo hazipigwi tena kwa kifupi sasa ule wimbo wa Mama anaupiga mwingi hausikiki tena siyo kwa Wananchi wala wale viongozi wa vyama vya siasa.

NINI KILICHOTOKEA?

Hali ya utendaji wa baadhi ya wizara imekuwa kikwazo mnoo kwa maendeleo ya jamii na uongozi wa Mama kwa ujumla mfano suala la umeme kwasasa limekua tatizo kiasi kwamba wananchi wa hali ya chini wanaotegemea umeme kuendesha shughuli zao za uchumi wameshajikatia tamaa ya kesho yao, tozo za miamala, vifurushi vya simu na mfumuko wa bei ya chakula kila uchwao nayo imekuwa tatizo kubwa

Kuna lingine limefukuta na tayari limeacha jeraha kubwa sana suala la maji ndani ya Jiji la Dsm angalau mafuta yameshuka bei kimtindo

Changamoto hizo hapo juu zinamgusa Mwananchi wa hali ya chini moja kwa moja na mbaya zaidi wananchi wanaona kama Mama kawasaliti na kawaacha peke yao baada ya Baba Kufariki hawana tena tumaini hawajui kesho yao itakuaje, wamejikatia tamaa kabisa hakuna anayejua mawazo ya mwenziye kwasasa ndani ya Nchi kila kitu hakishikiki na mbaya zaidi wananchi wanakerwa na matamashi ya baadhi ya viongozi kuwa yq kuudhi na kukera badala ya kuyafanyia kazi malalamiko yao.

Wakulima walia na bei ya mazao na gharama kubwa ya pembejeo mabadiliko ya hali ya hewa nayo inaendelea kusababisha ukame unaopelekea mifugo kufa wakulima kushindwa kulima kwa wakati na hawajui hatama yao itakuaje.

Nadhani jo kipindi ambacho wasaidizi wa Rais wangemsaidia zaidi Rais kutatua kero za wananchi badala ya kuwa na majibu ya danganya toto wakati utekelezaji ni mdogo.Hii inajenga picha ya kuashiria labda pengine Rais ni dhaifu au anawaogopa wasaidizi wake kwa maana hawezi kuwawajibisha pale wanapokosea ama la tumeona na kusikia mambo mengi yanayotokea kila siku na uzembe mkubwa wa baadhi ya watendaji wa Serikali katika kutimiza wajibu wao kwa dhamana waliyopewa ya kumsaidia Rais.

Kuna shida shida ipo mahala ni wakati sahihi sasa wa kumsaidia Rais kwajili ya mustakabali mzima wa Taifa na watu wake sababu siyo Rais tu anayeharibikiwa ila Watanzania kwa ujumla na vizazi vyetu.Hii ni sauti Mzalendo wa kawaida na haya ni maoni yangu tu kwa ufupi tunaipenda Tanzania yetu kwa moyo wetu wote bila kujali vyama,kabila,dini wala rangi.

Karibuni tuchangie Wakuu.
 
Wakuu habari za mchana?
Ni matumaini yangu kuwa mko poa,katika siku za hivi karibuni kumezuka mijadala kadhaa mitaani,katika mitandao na hata kimataifa kuwa uongozi wa Rais Samia umeghubikwa na sinyofahamu nyingi hususani katika masuala muhimu na ya msingi yanayolenga maisha ya wananchi moja kwa moja amekua mzito kuchukua maamuzi sahihi na kwa wakati kama ilivyokua kwa watangulizi wake ambapo pale inapoonekana wizara inalegalega katika utendaji waziri husika alikua anawajibishwa bila kupepesa jicho lakini kwa upande wake hali imekua tofauti kidogo mwanzo Wananchi waliona kama ukombozi umekuja kwa wakati sahihi ukizingatia hali ya kisiasa ambayo nchi ilipitia kayika miaka 5 nyuma.aliitwa mponyaji na mleta maridhiano ya kitaifa na vyama vyote vya siasa nchini na tulishuhudia viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa vikienda ikulu kuzungumza na mkuu na nchi hadi kuibuka msemo uliopendwa na kuvuma zaidi ya "Mama anaupiga mwingi" tulitegemea Wasaidizi wake wangemsaidia kushinda mechi tena mapema tu lakini hali imekua tofauti ghafla kwa Watazamaji na Mashabiki wa timu kwani wanaona kama timu yao inazidi kulemewa na hata zile pasi zilizokua zinapigwa mwanzo hazipigwi tena kwa kifupi sasa ule wimbo wa Mama anaupiga mwingi hausikiki tena siyo kwa Wananchi wala wale viongozi wa vyama vya siasa.
NINI KILICHOTOKEA?
hali ya utendaji wa baadhi ya wizara imekua kikwazo mnoo kwa maendeleo ya jamii na uongozi wa Mama kwa ujumla mfano suala la umeme kwasasa limekua tatizo kiasi kwamba wananchi wa hali ya chini wanaotegemea umeme kuendesha shughuli zao za uchumi wameshajikatia tamaa ya kesho yao,tozo za miamala,vifurushi vya simu na mfumuko wa bei ya chakula kila uchwao nayo imekua tatizo kubwa kuna lingine limefukuta na tayari limeacha jeraha kubwa sana suala la maji ndani ya Jiji la Dsm angalau mafuta yameshuka bei kimtindo,changamoto hizo hapo juu zinamgusa Mwananchi wa hali ya chini moja kwa moja na mbaya zaidi wananchi wanaona kama Mama Kawasaliti na kawaacha peke yao baada ya Baba Kufariki hawana tena tumaini hawajui keaho yao itakuaje wamejikatia tamaa kabisa hakuna anayejua mawazo ya mwenziye kwasasa ndani ya Nchi kila kitu hakishikiki na mbaya zaidi wananchi wanakerwa na matamashi ya baadhi ya viongozi kuwa yq kuudhi na kukera badala ya kuyafanyia kazi malalamiko yao.wakulima walia na bei ya mazao na gharama kubwa ya pembejeo mabadiliko ya hali ya hewa nayo inaendelea kusababisha ukame unaopelekea mifugo kufa wakulima kushindwa kulima kwa wakati na hawajui hatama yao itakuaje.nadhani jo kipindi ambacho wasaidizi wa Rais wangemsaidia zaidi Rais kutatua kero za wananchi badala ya kuwa na majibu ya danganya toto wakati utekelezaji ni mdogo.Hii inajenga picha ya kuashiria labda pengine Rais ni dhaifu au anawaogopa wasaidizi wake kwa maana hawezi kuwawajibisha pale wanapokosea ama la tumeona na kusikia mambo mengi yanayotokea kila siku na uzembe mkubwa wa baadhi ya watendaji wa Serikali katika kutimiza wajibu wao kwa dhamana waliyopewa ya kumsaidia Rais.
Kuna shida shida ipo mahala ni wakati sahihi sasa wa kumsaidia Rais kwajili ya mustakabali mzima wa Taifa na watu wake sababu siyo Rais tu anayeharibikiwa ila Watanzania kwa ujumla na vizazi vyetu.Hii ni sauti Mzalendo wa kawaida na haya ni maoni yangu tu kwa ufupi tunaipenda Tanzania yetu kwa moyo wetu wote bila kujali vyama,kabila,dini wala rangi.
Karibuni tuchangie Wakuu....
Ukweli
 
Ni kweli, Mama hadi leo hii ameshindwa kumfuta kazi Waziri Mashimba Ndaki kwa kuhujumu mikopo yetu ya ufugaji wa samaki kwa kutumia vizimba hapa Mwanza.
Tangu wadanganye kwa mabango makubwa kwamba Rais Samia ametoa bilioni 20 kwa wavuvi wa samaki, hadi leo hii hakuna chochote ndugu zanguni. Hakuna pesa yoyote ambayo imetufikia wavuvi na Mama amekuwa mzito kufanya maamuzi

Mikopo Vizimba.PNG
 
Wakuu habari za mchana?

Ni matumaini yangu kuwa mko poa,katika siku za hivi karibuni kumezuka mijadala kadhaa mitaani, katika mitandao na hata kimataifa kuwa uongozi wa Rais Samia umeghubikwa na sintofahamu nyingi hususan katika masuala muhimu na ya msingi yanayolenga maisha ya wananchi moja kwa moja amekuwa mzito kuchukua maamuzi sahihi na kwa wakati kama ilivyokuwa kwa watangulizi wake ambapo pale inapoonekana wizara inalegalega katika utendaji waziri husika alikuwa anawajibishwa bila kupepesa jicho lakini kwa upande wake hali imekuwa tofauti kidogo

Mwanzo Wananchi waliona kama ukombozi umekuja kwa wakati sahihi ukizingatia hali ya kisiasa ambayo nchi ilipitia kayika miaka 5 nyuma. Aliitwa mponyaji na mleta maridhiano ya kitaifa na vyama vyote vya siasa nchini na tulishuhudia viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa vikienda Ikulu kuzungumza na mkuu na nchi hadi kuibuka msemo uliopendwa na kuvuma zaidi ya "Mama anaupiga mwingi"

Tulitegemea Wasaidizi wake wangemsaidia kushinda mechi tena mapema tu lakini hali imekua tofauti ghafla kwa Watazamaji na Mashabiki wa timu kwani wanaona kama timu yao inazidi kulemewa na hata zile pasi zilizokuwa zinapigwa mwanzo hazipigwi tena kwa kifupi sasa ule wimbo wa Mama anaupiga mwingi hausikiki tena siyo kwa Wananchi wala wale viongozi wa vyama vya siasa.

NINI KILICHOTOKEA?

Hali ya utendaji wa baadhi ya wizara imekuwa kikwazo mnoo kwa maendeleo ya jamii na uongozi wa Mama kwa ujumla mfano suala la umeme kwasasa limekua tatizo kiasi kwamba wananchi wa hali ya chini wanaotegemea umeme kuendesha shughuli zao za uchumi wameshajikatia tamaa ya kesho yao, tozo za miamala, vifurushi vya simu na mfumuko wa bei ya chakula kila uchwao nayo imekuwa tatizo kubwa

Kuna lingine limefukuta na tayari limeacha jeraha kubwa sana suala la maji ndani ya Jiji la Dsm angalau mafuta yameshuka bei kimtindo

Changamoto hizo hapo juu zinamgusa Mwananchi wa hali ya chini moja kwa moja na mbaya zaidi wananchi wanaona kama Mama kawasaliti na kawaacha peke yao baada ya Baba Kufariki hawana tena tumaini hawajui kesho yao itakuaje, wamejikatia tamaa kabisa hakuna anayejua mawazo ya mwenziye kwasasa ndani ya Nchi kila kitu hakishikiki na mbaya zaidi wananchi wanakerwa na matamashi ya baadhi ya viongozi kuwa yq kuudhi na kukera badala ya kuyafanyia kazi malalamiko yao.

Wakulima walia na bei ya mazao na gharama kubwa ya pembejeo mabadiliko ya hali ya hewa nayo inaendelea kusababisha ukame unaopelekea mifugo kufa wakulima kushindwa kulima kwa wakati na hawajui hatama yao itakuaje.

Nadhani jo kipindi ambacho wasaidizi wa Rais wangemsaidia zaidi Rais kutatua kero za wananchi badala ya kuwa na majibu ya danganya toto wakati utekelezaji ni mdogo.Hii inajenga picha ya kuashiria labda pengine Rais ni dhaifu au anawaogopa wasaidizi wake kwa maana hawezi kuwawajibisha pale wanapokosea ama la tumeona na kusikia mambo mengi yanayotokea kila siku na uzembe mkubwa wa baadhi ya watendaji wa Serikali katika kutimiza wajibu wao kwa dhamana waliyopewa ya kumsaidia Rais.

Kuna shida shida ipo mahala ni wakati sahihi sasa wa kumsaidia Rais kwajili ya mustakabali mzima wa Taifa na watu wake sababu siyo Rais tu anayeharibikiwa ila Watanzania kwa ujumla na vizazi vyetu.Hii ni sauti Mzalendo wa kawaida na haya ni maoni yangu tu kwa ufupi tunaipenda Tanzania yetu kwa moyo wetu wote bila kujali vyama,kabila,dini wala rangi.

Karibuni tuchangie Wakuu.
Huyu nilijua atashindwa baada ya kuona amejizugushia mafisadi kama washauri wake wakuu. Fikiria Mwigulu kuwa waziri wa fedha, riz 1, Makamba, Rostam nk
 
mnapata shida sababu mlizoea rais kutembea na camera za mnato na video live mpaka makanisani, poleni sana.
Maharage kuuzwa kilo elfu 4 kunahusiana vipi na camera za mtangulizi wake?

Mchele kuuzwa kilo elfu 3 kunahusiana vipi na camera za mtangulizi wake?

Tozo zinahusiana vipi na camera?

Kukamatwa dhahabu ya Tz kilo 61 huko India nako Kuna uhusiano na camera ?

Gharama za kuvuta umeme kutoka elfu 27 Hadi Malaki kadhaa nayo ni mazoea ya camera live hadi kanisani?

Gharama kubwa za Mbolea vipi inahusiana na camera?

Mliposema mwendazake amevuruga soko la korosho,leo mbona mambo ni magumu kuliko zamani?

Kukatika katika umeme mlikuja na excuses za wafanyakazi hawakufanya service mashine miaka 6 walikuwa wanamwogopa anko magu,vipi baada ya service mliyofanya umeme umeacha kukatika?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu kwenye serikali aliyoiunda ambao hawezi kuwawajibisha hilo ndio tatizo la kwanza kubwa.

Sasa hao watu wanaharibu na bado wanaendelea kubaki.

Rais kama ana uchungu na nchi atawaondoa.

Ila kama hana wataendelea kubaki.

Uchaguzi ni wake.
 
Wakuu habari za mchana?

Ni matumaini yangu kuwa mko poa,katika siku za hivi karibuni kumezuka mijadala kadhaa mitaani, katika mitandao na hata kimataifa kuwa uongozi wa Rais Samia umeghubikwa na sintofahamu nyingi hususan katika masuala muhimu na ya msingi yanayolenga maisha ya wananchi moja kwa moja amekuwa mzito kuchukua maamuzi sahihi na kwa wakati kama ilivyokuwa kwa watangulizi wake ambapo pale inapoonekana wizara inalegalega katika utendaji waziri husika alikuwa anawajibishwa bila kupepesa jicho lakini kwa upande wake hali imekuwa tofauti kidogo

Mwanzo Wananchi waliona kama ukombozi umekuja kwa wakati sahihi ukizingatia hali ya kisiasa ambayo nchi ilipitia kayika miaka 5 nyuma. Aliitwa mponyaji na mleta maridhiano ya kitaifa na vyama vyote vya siasa nchini na tulishuhudia viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa vikienda Ikulu kuzungumza na mkuu na nchi hadi kuibuka msemo uliopendwa na kuvuma zaidi ya "Mama anaupiga mwingi"

Tulitegemea Wasaidizi wake wangemsaidia kushinda mechi tena mapema tu lakini hali imekua tofauti ghafla kwa Watazamaji na Mashabiki wa timu kwani wanaona kama timu yao inazidi kulemewa na hata zile pasi zilizokuwa zinapigwa mwanzo hazipigwi tena kwa kifupi sasa ule wimbo wa Mama anaupiga mwingi hausikiki tena siyo kwa Wananchi wala wale viongozi wa vyama vya siasa.

NINI KILICHOTOKEA?

Hali ya utendaji wa baadhi ya wizara imekuwa kikwazo mnoo kwa maendeleo ya jamii na uongozi wa Mama kwa ujumla mfano suala la umeme kwasasa limekua tatizo kiasi kwamba wananchi wa hali ya chini wanaotegemea umeme kuendesha shughuli zao za uchumi wameshajikatia tamaa ya kesho yao, tozo za miamala, vifurushi vya simu na mfumuko wa bei ya chakula kila uchwao nayo imekuwa tatizo kubwa

Kuna lingine limefukuta na tayari limeacha jeraha kubwa sana suala la maji ndani ya Jiji la Dsm angalau mafuta yameshuka bei kimtindo

Changamoto hizo hapo juu zinamgusa Mwananchi wa hali ya chini moja kwa moja na mbaya zaidi wananchi wanaona kama Mama kawasaliti na kawaacha peke yao baada ya Baba Kufariki hawana tena tumaini hawajui kesho yao itakuaje, wamejikatia tamaa kabisa hakuna anayejua mawazo ya mwenziye kwasasa ndani ya Nchi kila kitu hakishikiki na mbaya zaidi wananchi wanakerwa na matamashi ya baadhi ya viongozi kuwa yq kuudhi na kukera badala ya kuyafanyia kazi malalamiko yao.

Wakulima walia na bei ya mazao na gharama kubwa ya pembejeo mabadiliko ya hali ya hewa nayo inaendelea kusababisha ukame unaopelekea mifugo kufa wakulima kushindwa kulima kwa wakati na hawajui hatama yao itakuaje.

Nadhani jo kipindi ambacho wasaidizi wa Rais wangemsaidia zaidi Rais kutatua kero za wananchi badala ya kuwa na majibu ya danganya toto wakati utekelezaji ni mdogo.Hii inajenga picha ya kuashiria labda pengine Rais ni dhaifu au anawaogopa wasaidizi wake kwa maana hawezi kuwawajibisha pale wanapokosea ama la tumeona na kusikia mambo mengi yanayotokea kila siku na uzembe mkubwa wa baadhi ya watendaji wa Serikali katika kutimiza wajibu wao kwa dhamana waliyopewa ya kumsaidia Rais.

Kuna shida shida ipo mahala ni wakati sahihi sasa wa kumsaidia Rais kwajili ya mustakabali mzima wa Taifa na watu wake sababu siyo Rais tu anayeharibikiwa ila Watanzania kwa ujumla na vizazi vyetu.Hii ni sauti Mzalendo wa kawaida na haya ni maoni yangu tu kwa ufupi tunaipenda Tanzania yetu kwa moyo wetu wote bila kujali vyama,kabila,dini wala rangi.

Karibuni tuchangie Wakuu.
Kelele za mlango haziwezi kumtisha mwenye nyumba kuingia.

Museven huwa anasema Kuna freedom of speech ila freedom after speech itaitegemea umeongea Nini..

Rais anatakiwa kuanza na ku deal na Watu dizaini ya huyu wanaotumia Uhuru vibaya.
 
Hilo ndilo lilimponza mtangulizi wake na kumfanya aondoke prematurely. Pili, nchi ya watu wajinga ndio chama kimoja kinaweza kutawala zaidi ya nusu karne huku hakuna chochote cha maana kinachowafanyia wananchi wake.
 
Mwendazake alikuwa mgonjwa na aliharibu maslahi ya Wazungu isingekuwa hivyo mungeisha nyie kima..

Naona mnatumia vibaya uhuru, Museven, PK, Paul Byia, Al Sisi nk wote wapi na wanawashughulikia Wapinzani na wapo Hadi sasa..

Mama awanyooshe tuu.
 
Back
Top Bottom