96.8% ya wakazi wa Dar wanapata maji safi yaliyoko ndani ya mita 500 kutoka walipo

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,879
Sio mimi, hiyo ni ripoti ya NBS ya 2020/21 imeonesha wakazi wa Dar wanapata maji safi na salama ndani ya mita 500 tu. Usiniulize kuhusu mabowser au wauza maji wanaozurura na matorori, nazungumzia kilichooneshwa.

1668592841272.png
 
Attachments

  • Wafanyakazi Tz.pdf
    4.1 MB · Views: 2
Sio mimi, hiyo ni ripoti ya NBS ya 2020/21 imeonesha wakazi wa Dar wanapata maji safi na salama ndani ya mita 500 tu. Usiniulize kuhusu mabowser au wauza maji wanaozurura na matorori, nazungumzia kilichooneshwa.

View attachment 2418458
Waongo, matapeli wakubwa, sisi Mbezi Makabe, Msumi kote huko hakujawahi kuwa na maji ya DAWASCO toka kuumbwa misingi ya ulimwengu.
 
Katika Suala la Maji, Hakuna sehemu ngumu kuishi kama Mbezi Makabe na Msumi! Samahani lakini Mkuu, Maisha popote au siyo? Usinipopoe
 
Waongo, matapeli wakubwa, sisi Mbezi Makabe, Msumi kote huko hakujawahi kuwa na maji ya DAWASCO toka kuumbwa misingi ya ulimwengu.
Bwashe Mbezi Makabe sijui Msumi siyo Daslaam. Tusichanganye habari, tuwe makini tunapotaja Dar es Salaam. Samahani kama nimekukwaza, lakini msema ukweli ni mapenzi wa Mungu. Au nasema ndugu zangu?!
 
Waongo, matapeli wakubwa, sisi Mbezi Makabe, Msumi kote huko hakujawahi kuwa na maji ya DAWASCO toka kuumbwa misingi ya ulimwengu.
Kwani NBS wamekwambia ni maji ya dawasco tu?

Ni maji yote ya kisima,chemchemi, bwawa, bomba ama ya maboza.
 
Back
Top Bottom