Kwa maendeleo ya Mkoa wa Pwani na Tanzania, Wajumbe wa CCM chaguo lenu sahihi ni Mohamed Omary Mchengerwa -Mjumbe wa Halmashauri Kuu(NEC)

Robert S Gulenga

JF-Expert Member
Jan 3, 2013
2,160
1,492
Chama cha Mapinduzi (CCM) kinaendelea na uchaguzi wake wa ndani ili kuweza kupata viongozi watakao isimamia Serikali kwa umakini. Hakuna shaka kwa namna siasa za Tanzania zilivyo kwa sasa na mwenendo wa dunia nzima, CCM inahitaji kupata Viongozi makini na waadilifu, werevu, wasomi, wanaojua Tanzania inaelekea wapi na wale wanaoweza kujenga hoja na kujibu hoja za vyama pinzani.

Mkoa wa pwani ni moja ya mikoa iliyobarikiwa kuwa na ardhi ya kutosha na mabwawa ya kutosha, ni mkoa unaoweza kuwa kinara kwa kilimo cha kisasa na pia kuwa kinara wa Viwanda hapa Tanzania. Mkoa wa pwani ni mkoa wenye Historia toka enzi za kupigania Uhuru wa Tanganyika.

Mkoa wa pwani licha ya kubarikiwa mambo mengi bado ni mkoa unaozidiwa GDP na mikoa mingi ya Tanzania, Mkoa unahitaji watu wenye kuona mbali na kusimamia maono ya Kitaifa ili kuweza kubadilisha mkoa from Good to Great.

Wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Pwani- mnaochagua viongozi watakaowawakilisha katika kusimamia na kuleta mabadiliko ndani ya CCM, hakika msifanye makosa , chaguo sahihi kwa wakati sahihi kwa nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu (NEC) Mkoa wa Pwani ni Mohamed Omary Mchengerwa.

Wajumbe, watendeeni haki kizazi cha leo na kizaji kijacho cha Mkoa wa Pwani kwa kuweza kuwachagulia mtu makini, mpenda maendeleo na Mzalendo halisi kuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu (NEC) ambaye ni Mohamed Omary Mchengerwa.

Kwa kifupi, Mohamed Omary Mchengerwa

1. Mohamed Omary Mchengerwa ni Kijana Muadilifu , uadilifu wake sio wa kutiliwa shaka hata kidogo, ni muda sahihi sasa kwa Mkoa wa Pwani kuwa na muwakilishi katika chama ambaye hata akisimama na Wapinzani au akisimama kukisemea chama atasema bila woga kwasababu hana makando makando na wala hakuna mtu wa kumnyoshea kidole kuwa uadilifu wake ni wa mashaka.

2. Mohamed Omary Mchengerwa ni kiongozi msikivu, ni kiongozi mpenda haki na utu wa kila mtu, kwa Watu wote ambao wamefanya kazi na Mohamed Omary Mchengerwa watakwambia ukiwa na tatizo au una mawazo yako yakuwasilisha yenye manufaa kwa Taifa, hata kama watu wengine wote hawatakusikiliza lakini ukifika kwake mtakaa chini mtakubaliana kutokukubaliana kwa hoja. Wajumbe chagueni muwakilishi ambaye atasikiliza wana CCM wote bila ubaguzi. Mchengerwa ni mtu wa hoja na si mtu wa majungu.

3. Mohamed Omary Mchengerwa ni Kiongozi mwenye kipaji na ubunifu, kwenye Maisha ya kawaida lazima tukubali kuna watu wamezaliwa kuwa na vipaji vya uongozi kama ambavyo watu wengine wamekuwa na vipaji kwenye mpira etc.. Mohamed Omary Mchengerwa kwa muda mfupi aliokuwa kwenye Wizara inayoshughulia Utumishi amefanya mambo mengi kiasi hata pale Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Samia Suluhu Hassan alipoamua akamsaidie katika Wizara inayoshughulikia Michezo, Watumishi wengi walisikitika kwa namna alivyoweza kusikiliza na kushughulikia kero ambazo nyimngine hazikuhitaji fedha bali maamuzi tu. Wajumbe chagueni mtu huyu, CCM inahitaji watu kwa sasa wanaoweza kuwa wabunifu wa kujibu hoja za Wapinzani ambao baadhi yao ni Wasomi na wanauelewa.

4. Mohamed Omary Mchengerwa ni Msomi wa sheria, kwa namna Siasa za Tanzania na Dunia inavyoenda kwa sasa, Chama cha Mapinduzi kinahitaji kuwa na vijana wasomi wanaoweza kutetea hoja, kuelewa uchumi wa dunia, kuelewa nini Chama kinataka katika kukuza uchumi na kuweza kumsaidia Mwenyekiti wa Chama kutekeleza majukumu yake kiurahisi. Mohamed Omary Mchengerwa ni msomi ambaye anaweza kujenga hoja hata kwenye majukwaa ya Kimataifa, huyu ni msomii anayeweza kuzipangua hoja zote za Wapinzani bila kubabaika. Wajumbe huyu ndiye mtu sahihi wa kuwakilisha mkoa wetu wa Pwani.

Wajumbe, Kuna sababu nyingi sana za kusema juu ya kwanini Mohamed Omary Mchengerwa ndiye mgombea sahihi ya uwakilishi katika nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu (NEC) Mkoa wa Pwani , itoshe kusema Mkoa wa Pwani unahitaji viongozi wa CCM watakaoutengeneza Mkoa from GOOD TO GREAT kwa kuweza kuisimamia Serikali vizuri ili kuwaletea Maendeleo Watanzania.

MUNGU IBARIKI TANZANIA,
MUNGU MBARIKI RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA SAMIA SULUHU HASSAN.
 
Chama cha Mapinduzi (CCM) kinaendelea na uchaguzi wake wa ndani ili kuweza kupata viongozi watakao isimamia Serikali kwa umakini. Hakuna shaka kwa namna siasa za Tanzania zilivyo kwa sasa na mwenendo wa dunia nzima, CCM inahitaji kupata Viongozi makini na waadilifu, werevu, wasomi, wanaojua Tanzania inaelekea wapi na wale wanaoweza kujenga hoja na kujib
Yaani Mwanaume mzima unampamba Mwanaume mwenzako kwa kiwango hiko kweli??mbona unatia shaka na uanaume wako Ndugu!!hapana aisee,kuna la ziada hapo sio bure,huwezi kumpamba Mwanaume mwenzako kiasi hiko,mmmmhhhh
 
Takataka ya bibi yako Kingsmann
Mkuu matusi ya nini?

Wewe tunakujua ni CHADEMA damudamu sema upo CCM kwa sababu ya njaa tuu

Toka 2013 upo upinzani, eti leo hii unajifanya upo chama tawala?

Screenshot_2022-11-16-11-17-45-529-edit_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg
 
Mlete mama ako nimpambe
Jamaa yangu acha matusi, na unapenda kutukania matusi ya wanawake sana kwa sababu umeshawashindwa.

Mwanaume usiyeweza kucontrol mke utaweza nini? Mwanaume wa hivi ni takataka tuu.

Hapa ulichapiwa
Screenshot_2022-11-16-11-18-48-144-edit_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg


Baada ya kuchapiwa ukaishia kupiga mayowe tuu kama mbwa koko
Screenshot_2022-11-16-11-19-24-536-edit_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg


Na baada ya hapo wajanja wakakuibia mke wako, idiot kabisa wewe. Halafu unajifanya nyenyenyeee.
Screenshot_2022-11-16-11-20-17-045-edit_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg
 
Chama cha Mapinduzi (CCM) kinaendelea na uchaguzi wake wa ndani ili kuweza kupata viongozi watakao isimamia Serikali kwa umakini. Hakuna shaka kwa namna siasa za Tanzania zilivyo kwa sasa na mwenendo wa dunia nzima, CCM inahitaji
Raiasi kashinda yeye ataweza? Ana miujiza ipi? Utuambie
 
Jamaa yangu acha matusi, na unapenda kutukania matusi ya wanawake sana kwa sababu umeshawashindwa.

Mwanaume usiyeweza kucontrol mke utaweza nini? Mwanaume wa hivi ni takataka tuu.

Hapa ulichapiwa
View attachment 2418349

Baada ya kuchapiwa ukaishia kupiga mayowe tuu kama mbwa koko
View attachment 2418350

Na baada ya hapo wajanja wakakuibia mke wako, idiot kabisa wewe. Halafu unajifanya nyenyenyeee.
View attachment 2418352
kwa tabia hiyo ya kusifia wanaume wenzie lazima atakuwa sio ridhki,na mimi kama Mwanamke siwezi kuendelea kuishi na Mwanaume anayefukuliwa mtaro lazima nitaondoka tu,ndicho alichokifanya aliyekuwa Mke wa huyo muanzisha Uzi,lazima ni CHOKO huyu, Mwanaume lijari hawezi kumpamba Mwanaume mwenzake kiasi kile,sio ridhki huyo
 
Back
Top Bottom