Hali ni tete kuliko wakati mwingine wowote ule

Daisam

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2016
Posts
2,622
Reaction score
3,144
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na hali ngumu ya Maisha.

Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na uhaba wa umeme.

Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na uhaba wa maji.

Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na urasimu wa Viongozi wa umma katika kutoa huduma.

Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na wenye pesa kuzuiliwa kutoa michango yao ya huduma za kijamii kwa kuhofia kwamba wenye vyeo wasije kunyang'anywa vyeo vyao.

Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na uzembe wa Viongozi wetu wa umma.

Huu ni wakati wa kuamka na kuchukua hatua kali za maksudi.
 
Suluhisho la haya ni nini mkuu??
 
Ni kweli ni wakati wa kuiondoa CCM tumechoka!
 
Suluhisho la haya ni nini mkuu??
Suluhisho la kwanza kabisa ni uwajibikaji.

Watanzania tumekuwa tukiona mambo ya ovyo yanayofanywa na Viongozi wetu wa umma bila kuchukua hatua stahiki kwa wakati wake.

Kwa kufanya hivyo, Viongozi wetu hawabadiliki. Wanatuona sisi kama mapoyoyo fulani hivi.

Tungekuwa tunapiga kelele kukemea uzembe huo wa Viongozi wetu, hakika wangebadilika na kuwajibika ipasavyo.
 
🤝🤝🤝🤝🤝
 
Back
Top Bottom