Mkurugenzi wa Mipango Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Katiba na Sheria Dk. Abdul Mussa, amefariki dunia leo Jumapili Aprili 23, 2023 saa sita mchana baada ya gari alilokuwa akisafiria kutoka Dar...
Kwa masikitiko makubwa, kila Jimbo Tanzania linapokea fedha za mfuko wa Jimbo kwa maendeleo ya Jimbo. Huu ni mwaka wa 3 Jimbo la Hai halijawahi kuona au kupokea fedha za mfuko wa Jimbo kwa ajili...
Waziri wa Katiba na Sheria wa Tanzania Mh. Damas Ndumbaro, amenukuliwa akisema kwamba Mahakama ya Tanzania ndio Mahakama bora na ya kupigiwa mfano barani Africa kwa sasa.
"Nilihudhuria Mkutano...
Arusha
Mke wa Nabii Mkuu Mh GeorDavie, Mchungaji Anna Davie ameiomba Serikali kutengeneza barabara ya kuelekea nyumbani kwake iliyopo wilayani Arumeru mkoani Arusha kwani Mtumishi wa Mungu Nabii...
Baada ya kupata taarifa ya CAG nakumbuka alitoa maelekezo ya watu waliohusika na wizi wa fefha za umma wawajibishwe ambapo aliwaambia makatibu wakuu wa wizara mbalimbali zilizoonesha katika...
Akihojiwa na East Africa Radio asubuhi hii Aprili 20, 2023, Dkt Slaa amesema akipata nafasi ya kukutana na mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe atamshauri aachane na maridhiano kwa kuwa...
Taasisi ya Moody's inayopima Afya ya Uchumi wa Nchi kuweza kuhimili Misukosukoya kiuchumi na uwezo wa kulipa Madeni imesema Uchumi wa Tanzania ni Daraja la B2 plus..
Daraja B2 plus Kiuchumi...
Ikumbukwe design ya kwanza ya Ubungo Interchange ilikuwa nzuri na Kali Hadi kupelekea kuvunjwa Kwa majengo yaliyo jirani ikiwemo Tanesco..
Cha kusikitisha baada ya ujenzi zikaja sarakasi matokeo...
Ilikuwa Dodoma mwaka 2015 nilipokutana na dada anayesoma chuo kikuu Cha IMTU cha kule Dar, alikuja na wenzie field Milembe hospital.
Wakati tunaangalia harakati za kumpata mgombea wa urais kwa...
Wadau nimeshanganzwa sana na kauli ya Waziri mwenye dhamana ya sheria na katiba.
Nilitarajia waziri huyu angekuwa bega kwa bega na wananchi wanaotaka katiba mpya kwani ni haki yao, kauli hii ya...
Nionyeshe rafiki yako nikwambie ulivyo!
Kila mwenye akili timamu katika nchi hii, anajua fika kabisa, ccm yote ni janga la nchi hii!
Mtu akitajwa fisadi, makao makuu ni ccm
Akitajwa mla rushwa...
Sijafahamu Kwa wengine ikiwa hupata haki Kweli kunapotokea shida za kiajira/kikazi katika nchi za kigeni, lakini hii imekuwa ni kinyume kabisa Kwa balozi zetu zilizoko Abdhabi,
Mwaka 2016, Mzee...
Kampuni ya Tembo Nickel imelipa zaidi ya Shilingi Bilioni 6.7 mwaka jana ikiwa ni kodi ya leseni za kuendesha kampuni hiyo.
Meneja Mkuu wa Tembo Nickel, Manny Ramos amesema kampuni hiyo pia...
Ninaandika kwa mara nyingine kuhusu jambo hili ambalo wengi wenu hamtapenda kulisikia. Naandika kama mzalendo kwa nchi yangu Tanzania na sina interest nyingine yoyote kibiashara katika jambo hili...
All Africa.com News inarupoti kwamba Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed na Waasi wa Oromo wanatarajia kuanza Mazungumzo ya amani Nchini Tanzania..
Huu ni Ushindi mwingine wa Tanzania na Rais...
Moja la changamoto kubwa ya miradi ya madini Nchini Tanzania ni uwepo wa CSR Programu zinazofanana katika maeneo yote ya migodi "Social responsibility Model".
Wakati migodi mingi imezungukwa na...
Moja, Katiba mpya itakayoandikwa haitaweka uhuru na haki zisizoingiliwa kwa makundi yote ya watu. Kwa sehemu kubwa naona katiba mpya kwa sasa itaegemea zaidi katika kinachoitwa 'maadili ya...
MHE. ESTHER MALLEKO - UCHAFUZI WA MAZINGIRA NI CHANGAMOTO KWA TAIFA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Esther Edward Malleko leo tarehe 24 Aprili 2023 amechangia hotuba ya Bajeti...
Habari zenu wanajamvi,
Huyu Abdul nadhani atakua kasahau ama amekengeuka kidogo kwenye hili, binafsi nakumbuka kipindi cha awamu ya 4 waislam walishawahi kufanya hicho kitu na wakawa blocked...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.