Kuna watu kwa sababu ya tamaa, wamezika taranta zao! Nape anakuwaje Waziri?

Trable

JF-Expert Member
Jan 3, 2023
1,783
3,278
Sauti yake, manjonjo yake na mwonekano wake, ni MC mashuhuli, eti leo ni waziri?

Tanzania tuna tabu sana!

Tegemeeni bando kupanda kila uchwao na mitandao kuwa chini zaidi

Hatusemi kwa ubaya, ni ili tu, wao wajaribu kujitahidi saana kuendana na wakati, Tanzania sio sehemu ya kujaribishiana, Tunataka maendeleo, watanzania tunapenda mabadiriko kutoka kwa viongozi wanaochukizwa na unyuma wa nchi yetu, watu kutamani kukimbilia nchi za wengine, ni kwa sababu moja tu, nchi zao hazina viongozi wanaoumizwa na hali hizo!

Tunajaribu kuwakumbusha ili wasimame kisawasawa kama watetezi wa Watanzania na kwamba watanzania ndio tuliowatuma kufanya yale tuliyotaka na siyo yale wao wanataka!

Jumapili njema
 
Sauti yake, manjonjo yake na mwonekano wake, ni MC mashuhuli, eti leo ni waziri?

Tanzania tuna tabu sana!

Tegemeeni bando kupanda kila uchwao na mitandao kuwa chini zaidi

Hatusemi kwa ubaya, ni ili tu, wao wajaribu kujitahidi saana kuendana na wakati, Tanzania sio sehemu ya kujaribishiana, Tunataka maendeleo, watanzania tunapenda mabadiriko kutoka kwa viongozi wanaochukizwa na unyuma wa nchi yetu, watu kutamani kukimbilia nchi za wengine, ni kwa sababu moja tu, nchi zao hazina viongozi wanaoumizwa na hali hizo!

Jumapili njema
Mpaka kesho sielew inakuaje mtu mwenye uelewa mdogo kama nape anakuwa eti waziri tena kitengo kama hicho
Nilimsikiliza sababu alizotoa kumzuia Elon musk kuja bongo daah sisi tuna Safar ndefu sana kama hawa ndio watu tunaowategemea
 
Ndio hivyo tena mkuu
 
Usiumie na blessings za wenzako! Tengeneza njia za kufanikiwa kwako usidhihirishe chuki zako kwa wenzako kesho. Kama umri umeshakutupa mkono kazana kusomesha watoto, hakikisha unawalea kwenye misingi na taratibu, tengeneza connection kwa ajili yao na uwasihi wazitengeneze kwa ajili yao wenyewe lawama, chuki na umasikini usiwe endelevu kwenye familia na ukoo.

BAHATI YA MWENZAKO USIILALIE MLANGO WAZI. NA JITIHADA ZA MWENZAKO ZILIZOZAA MAFANIKIO ZISIKUNYIME RAHA NA AMANI.
 
Asante mkuu kwa ushauri, ila haiondoi ukweli kwamba wengi wa viongozi wetu ni bule kabisa
 
We ni FALA! hata kuandika hujui... unaenda kuwaita watu wenye PhD zao ni bure 😅😅😅

Nenda kawe housegirl au houseboy uarabuni.
 
PhD za bongo asiyezijua ni nani?

Na kwa nini unahasira sana mkuu, kuwa mfanya kazi wa ndani, nayo ni kazi, usiwadharau na huwenda ulisomeshwa kwa mtindo huo!
 
Unazidi kudhihirisha UPUMBAVU wako... chukua muda wako wasome hao mawaziri wote historia zao na walisoma wapi. Sio hawa wa awamu hii tu, awamu zote unazozijua wewe wasome kisha urudi tena hapa kutoa nyongo na kudhihirisha umasikini wako wa mawazo.

HOPELESS!
 
Kwani shida yako ni ipi haswa! Kuwaambia ukweli viongozi wetu kwamba wenginewao wamekimbia taranta zao siyo?
 
Back
Top Bottom