Imekuwa ni utaratibu wa kawaida kwa wafanyakazi wa Tanzania kuwa na kauli mbiu ya May Pay badala ya May Day kwa kila wakati kudai mishahara bora!
Bahati mbaya sana Serikali ya Chama cha Mapinduzi...
Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Hamza amesema Wafanyakazi Wanaoajiriwa na Taasisi za JMT Wana haki ya kufanya kazi popote pale Tanzania.
Ukiajiriwa na Serikali ya JMT...
Wezi WA Kura mara nyingi wanakuwa wabinafsi, wanategemea kubebwa Ndipo waishi. Wapo radhi kuua ili wapate madaraka. Wapo radhi wawafunge wapinzani wao wanaokubalika ili wao wapite Bila kupingwa...
Kila leo utasikia waandishi wa habari wanalalamika kwamba hawana uhuru. Utasikia kila siku wakilalamika kwa sababu wao ndio watoa habari. Usifanye kosa ukadhani hilo ndio tatizo kubwa nchini...
Habari JF, Ukitaka kuliongoza taifa la Tanzania na kuliletea maendeleo ni lazima uwe in mtu mkali. maono na Mwenye msimamo. Tanzania ina asilimia kubwa ya watu wa aina 3:-
1. Wavivu - hawapendi...
Mhe. Waziri Mkuu naomba nikushirikishe mbinu zinazotumiwa na walafi kutorosha Mali za umma kwenda nje. Wezi na mitandao Yao wanaotoroka nchini wameshtuka awapiti airport wanapita kwenye mipaka mfu...
Hizi ni picha zilizopigwa leo tarehe 4/5/2023 zikiwaonesha vijana manguli wa siasa za Tanzania, Dkt Mwigulu Nchemba, January Makamba na Nape Nnauye wakiwa katika mjadala na tabasamu zito.
Picha...
Mheshimiwa Rais mama yetu mpendwa. Wakazi wa Kipunguni Dar salaam ambao tuliteseka Zaid ya miaka 20 mwaka huu tumefanyiwa tathimini ya majengo na ardhi. Tunasubiri malipo.
Lakini tunaona siasa...
Akizungumza Bungeni leo Lugaha Mpina amedai ya kuwa kuna maagizo aliyatoa Waziri Mkuu na hayafanyiwi kazi na Waziri Mkuu yupo kimya hatua inayoonesha labda naye ameridhia
Hata hivyo hoja zake...
Sa'Leku Shekhe!
Kiukweli, Mama yetu hana baya. Ni Mama mtaratibu na mpole sana. Anajali sana watu, hana majivuno. Anajua kujishusha na ni mtu mwenye huruma sana.
Tatizo lipo kwa wale watu Mia...
TANZANIA, INDONESIA KUSHIRIKIANA UENDELEZAJI UCHIMBAJI MADINI
Dodoma
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ameeleza kuwa, Tanzania na Indonesia zitashirikiana katika kuendeleza shughuli za uchimbaji...
Ndugu Wanajamvi
Kwa heshima kubwa naomba nitoe shukrani kwa niaba yangu binafsi, familia yangu na watu wangu wa Kijiweni kwa Ujasiri wa Kuendesha mijadala yenye tija kwa taifa letu bila kujali...
Waziri Mkuu wa Japan atatembela Egypt, Ghana, Kenya na kuturuka na kwenda Mozambique
Kulikoni Mozambique, yaani sisi tunaona karuka mkojo na kukanyaga. Au ni kinyume chake.
=========
Prime...
Mbunge wa Jimbo la Chaani – Zanzibar, Juma Usonge Hamad akichangia mada Bungeni akidai bei ya nyama ya ng’ombe kwa upande wa Zanzibar ni gharama na kuwa Kilogramu moja inauzwa kuanzia Tsh. 13,000...
Kuna watu huku jamii forum mnajipa moyo sana kwamba CCM katika Jimbo la Mh Spika Tulia ACKSON inaweza "kutema" Jimbo kwa mtu anaitwa Sugu!Thubutu!
Hesabu wa kumshinda Sugu Jimbo la Mbeya...
Ni kawaida Sana sasa kukuta wagombea Ubunge wa CCM wakiwahofia Sana Wajumbe na kuwaona kama miungu Watu lakini wakiwapuuza wapiga kura wa Uchaguzi mkuu
Hata kugawa Majimbo ni CCM wanakimbiana...
Inasikitisha sana kuona wanafunzi wanashindwa kwenda shuleni kwa sababu wamekosa michango mbalimbali.
Wazazi wanakubaliana kwenye vikao vya shule kulipa michango lakini utekelezaji ziro. Matokeo...
Kipande cha Barabara cha Town Clinic ni Kibovu tangu nahamia Tabora Mwaka 2019. Ni Kipande ambacho hata Mita 100 hakifikishi, ndicho kinachoingia Salmini, sehemu Muhimu kiuchumi, Diwani wa eneo...
Jiji la Mwanza ni ushahidi tosha kwamba hata uhujumu vipi, kama imeandikiwa itatokea tu, jinsi wanavyotumia nguvu kubwa kulihujumu ndiyo linavyopaa zaidi kimaendeleo!
Ukiacha Serikali ya awamu ya...
Mahakama kuu chini ya mtendaji mkuu wa Mahakama bwana Olisante Ole Gabrieli zaidi ya Mwaka sasa ameshindwa kuwalipa wajasilia Mali ambao wamewauzia matofali zaidi ya elfu arobaini ambayo...