MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,978
Sa'Leku Shekhe!
Kiukweli, Mama yetu hana baya. Ni Mama mtaratibu na mpole sana. Anajali sana watu, hana majivuno. Anajua kujishusha na ni mtu mwenye huruma sana.
Tatizo lipo kwa wale watu Mia Moja walio kwenye circle yake. I mean wale watu 100 wanaomzunguka (ambao siku hizi wameacha kufanya majukumu ya Kazi zao, wamekalia kufanya uchawa pro max)
Daah asee mijamaa ina roho mbaya sana, sijapata kuona.
Anyways sio case, kuna nini tena. Mungu ndiye mgawa ridhiki, thawabu pamoja na baraka. Ni yeye pekee ndiye huijua Hatima ya maisha ya mtu. (Justice delayed is a mother miracle)
Note

- Nawakumbusha tu, tuepuke roho mbaya, na zaidi ya yote tujitahidi kuwafanya watu wawe na furaha kwa kuwatendea mema. Kila mmoja wetu atakufa siku moja, tusiishi kwa kuwazibia watu ridhiki, kwa kuwakandamiza na kwa kuwazushia uongo au kuwasema vibaya pasipo sababu yeyote.
- Tujitahidi sana kutuwatunza watu tunaoletewa na Mungu katika maisha yetu, kutunza haki zao, afya zao na kamwe tusiwatake for granted, hayupo aijuaye kesho. Tomorrow is always a mystery.