Ni May pay tena?

Michael Uledi

Senior Member
Mar 29, 2023
132
322
Imekuwa ni utaratibu wa kawaida kwa wafanyakazi wa Tanzania kuwa na kauli mbiu ya May Pay badala ya May Day kwa kila wakati kudai mishahara bora!

Bahati mbaya sana Serikali ya Chama cha Mapinduzi haijawahi kuhoji ufanisi na tija ya wafanyakazi wake.Utumishi wa Umma madhara ni umekuwa ni utamaduni wa "business as usual" kwa kuendekeza wizi kwa mwajiri,uvivu na utoto kazini hasa kwa walimu wengi!

Utendaji wa vyombo kama vya mahakama,polisi umekuwa ukihojiwa na watanzania wengi akiwemo Mh RAIS mwenyewe ambaye amehoji weledi wa vyombo hivyo!

Ni wakati sasa wa Serikali kuhoji mambo ya tija kabla Mh RAIS hajaombwa mishahara bora na mazingira bora ya kazi!

Kwanini Mh RAIS ambaye ni mwajiri Mkuu asianze kuwapa target kila sekta kwa maana ya Kilimo kuwa na target ya madharani uchango wa asilimia 10% ya GDP.The same kwa sekta ya viwanda,nishati na sekta zingine!

Hakuna haki bila wajibu!

+255746726484(Maoni).
Screenshot_20230501-060909_WhatsApp-713x950.jpg
 
Lipeni wafanyakazi mishahara inayo kidhi mahitaji yao, ndipo mlete hizo mbambama zenu.

Unamlipa mtu laki 3, halafu umletee masharti lukuki! Watu si watawaachia hiyo kazi yenu, na kwenda kujiajiri.
 
Nipo kusikiliza wimbo wa Zuchu HAKUNA KULALA🎶🎶🎶😘😘😘😘❤
 
Lipeni wafanyakazi mishahara inayo kidhi mahitaji yao, ndipo mlete hizo mbambama zenu.

Unamlipa mtu laki 3, halafu umletee masharti lukuki! Watu si watawaachia hiyo kazi yenu, na kwenda kujiajiri.
Nenda kajiajiri kaka kama hautaki masharti!Mama anasema hapa now.

Mishahara bora bila uadilifu na weledi ni uhuni!
 
Nenda kajiajiri kaka kama hautaki masharti!Mama anasema hapa now.

Mishahara bora bila uadilifu na weledi ni uhuni!
Wewe na huyo maza wako, wote ni wale wale tu. Mnalipa wafanyakazi mishahara mbuzi, halafu mnataka good perfomance!

Halafu kuhusu kujiajiri; mbona hao ndugu zako unaowapigia chapuo hapa, hawajiajiri? Miaka nenda mnajificha kwenye kichaka chenu kinachoitwa ccm!!
 
Achana na huyo kiazi mlamba asali mkuu..
 
Mtu anafanya kazi miaka 40 ujana wake wote anamalizia kazini kuna mtu anakaa miaka mitano hata jimboni hawawahi kanayaga analipwa pensheni milon 272 ,unaongea kutimiza wajibu katika mazingira magumu yasiyo na vitendea kazi je hao wangefanya mazingira kama ya wakimu wangekaa kimya?
 
Back
Top Bottom