Inyeshe mvua liwake jua CCM haiwezi kushindwa na CHADEMA jimbo la Mbeya

Michael Uledi

Senior Member
Mar 29, 2023
132
322
Kuna watu huku jamii forum mnajipa moyo sana kwamba CCM katika Jimbo la Mh Spika Tulia ACKSON inaweza "kutema" Jimbo kwa mtu anaitwa Sugu!Thubutu!

Hesabu wa kumshinda Sugu Jimbo la Mbeya zilishachorwa kitambo sana!Ni suala la muda tu CCM wanangoja kutekeleza!

Hakuna kipindi ambacho CCM itakuwa imara ndani ya Jimbo la Mbeya kama mwaka 2025.CCM imekuwa ikijijenga ndani kwa ndani bila watu wengi kujua!

Sehemu pekee ambayo Sugu anaweza kushinda labda arudi kwao Mkoa wa NJOMBE lakini sioni Dalili za jamaa kushinda Mbeya!

Tutakuwa watu wa mwisho kuliachia jimbo la Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenda kwa upinzani!Vijana wa CCM tunasema iwe mvua iwe jua Sugu kwa kupitia tiketi yoyote hawezi kushinda Mbeya!

Nipo paleeee.
 
Ramli chonganishi? Au upatu ya tatu mzuka?
Mshana, kuna vyeo na kama bado yupo kwenye plan za mfumo huwezi kumuangusha. Mambo mengine tuambiane ukweli labda hadi hiyo katiba mpya ipatikane. Hakuna namna Sugu anaweza kumtoa Tulia ubunge labda mfumo uwe haumtaki tena.
 
Tulia hana chake pale mbeya mjini kaka, usifikiri mbeya ni sawa na kwenu Tanga...2025 tunamstaafisha Betina
 
Mshana, kuna vyeo na kama bado yupo kwenye plan za mfumo huwezi kumuangusha. Mambo mengine tuambiane ukweli labda hadi hiyo katiba mpya ipatikane. Hakuna namna Sugu anaweza kumtoa Tulia ubunge labda mfumo uwe haumtaki tena.
Atashinda ki mfumofumo..,kitengotengo🤣🤣
 
Mshana, kuna vyeo na kama bado yupo kwenye plan za mfumo huwezi kumuangusha. Mambo mengine tuambiane ukweli labda hadi hiyo katiba mpya ipatikane. Hakuna namna Sugu anaweza kumtoa Tulia ubunge labda mfumo uwe haumtaki tena.
Tunazungumzia Ushindi halali au haramu?
 
Mshana, kuna vyeo na kama bado yupo kwenye plan za mfumo huwezi kumuangusha. Mambo mengine tuambiane ukweli labda hadi hiyo katiba mpya ipatikane. Hakuna namna Sugu anaweza kumtoa Tulia ubunge labda mfumo uwe haumtaki tena.
Siku si kama milima kwamba siku zote iko pale ilipo MTAZAMO
 
Mshana, kuna vyeo na kama bado yupo kwenye plan za mfumo huwezi kumuangusha. Mambo mengine tuambiane ukweli labda hadi hiyo katiba mpya ipatikane. Hakuna namna Sugu anaweza kumtoa Tulia ubunge labda mfumo uwe haumtaki tena.
Kwa taarifa yako naona ulikuwa hujazaliwa, wananchi wa Mbeya siyo wajinga kama unavyo fikiri wewe,wananchi wa Mbeya Ndiyo watu wa mwanzo kabisa kukikataa CCM katika uchaguzi 1995 walichagua mbunge wa upinzani/NCCR Mageuzi
 
Kuna watu huku jamii forum mnajipa moyo sana kwamba CCM katika Jimbo la Mh Spika Tulia ACKSON inaweza "kutema" Jimbo kwa mtu anaitwa Sugu!Thubutu!

Hesabu wa kumshinda Sugu Jimbo la Mbeya zilishachorwa kitambo sana!Ni suala la muda tu CCM wanangoja kutekeleza!

Hakuna kipindi ambacho CCM itakuwa imara ndani ya Jimbo la Mbeya kama mwaka 2025.CCM imekuwa ikijijenga ndani kwa ndani bila watu wengi kujua!

Sehemu pekee ambayo Sugu anaweza kushinda labda arudi kwao Mkoa wa NJOMBE lakini sioni Dalili za jamaa kushinda Mbeya!

Tutakuwa watu wa mwisho kuliachia jimbo la Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenda kwa upinzani!Vijana wa CCM tunasema iwe mvua iwe jua Sugu kwa kupitia tiketi yoyote hawezi kushinda Mbeya!

Nipo paleeee.
ikiwa sugu hawezi kushinda wasiwasi wako nini? relax, mjulishe hata Tulia asiwe na wasiwasi
 
Kuna watu huku jamii forum mnajipa moyo sana kwamba CCM katika Jimbo la Mh Spika Tulia ACKSON inaweza "kutema" Jimbo kwa mtu anaitwa Sugu!Thubutu!

Hesabu wa kumshinda Sugu Jimbo la Mbeya zilishachorwa kitambo sana!Ni suala la muda tu CCM wanangoja kutekeleza!

Hakuna kipindi ambacho CCM itakuwa imara ndani ya Jimbo la Mbeya kama mwaka 2025.CCM imekuwa ikijijenga ndani kwa ndani bila watu wengi kujua!

Sehemu pekee ambayo Sugu anaweza kushinda labda arudi kwao Mkoa wa NJOMBE lakini sioni Dalili za jamaa kushinda Mbeya!

Tutakuwa watu wa mwisho kuliachia jimbo la Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenda kwa upinzani!Vijana wa CCM tunasema iwe mvua iwe jua Sugu kwa kupitia tiketi yoyote hawezi kushinda Mbeya!

Nipo paleeee.
Uamuzi wa nani atashinda au kushindwa ni wa wapiga kura na siyo wa Uvccm.
Labda Kama mtatumia dola kama mlivyozoea.
 
Mshana, kuna vyeo na kama bado yupo kwenye plan za mfumo huwezi kumuangusha. Mambo mengine tuambiane ukweli labda hadi hiyo katiba mpya ipatikane. Hakuna namna Sugu anaweza kumtoa Tulia ubunge labda mfumo uwe haumtaki tena.
Sijui itakuwaje Jomba. Tatizo la siasa za mbeya mjini ni too complicated. Kama unakumbuka hata uchaguzi wa kwanza vyama vingi Jimbo la mbeya lilienda upinzani nccr . Na kuna ukabila pia hili siliongelei hapa in detail, ila huo utamuangusha tulia hata Jimbo ligawanywe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom