Ombi: Rais arudishe ada Shule za Sekondari

Ombi: Rais arudishe ada Shule za Sekondari

Equitable

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2021
Posts
2,124
Reaction score
5,698
Inasikitisha sana kuona wanafunzi wanashindwa kwenda shuleni kwa sababu wamekosa michango mbalimbali.

Wazazi wanakubaliana kwenye vikao vya shule kulipa michango lakini utekelezaji ziro. Matokeo yake wakuu wa shule wanaamua kuwaadhibu watoto.

Hii itapelekea watoto;
1. Kuwa malaya ili wapate hela ya mchango.
2. Kuiba.
3. Kuunda magroup haramu.

Hivyo basi naomba serikali irudishe ada kwa nchi nzima ili shule zijitosheleze kimatumizi.

Ombi: Tuache siasa kwenye elimu. Kura tutakupa tu mama.
Tulinde elimu.
 
Duu kwann usishauri serikali ipunguze matumizi yake na kias kitakachopatikana kizibe pengo?
 
Kwanini ipunguze matumizi wakati kila mtu amezaa mwanae??
Ada irudi hamna namna
 
Inasikitisha sana kuona wanafunzi wanashindwa kwenda shuleni kwa sababu wamekosa michango mbalimbali.

Wazazi wanakubaliana kwenye vikao vya shule kulipa michango lakini utekelezaji ziro. Matokeo yake wakuu wa shule wanaamua kuwaadhibu watoto.

Hii itapelekea watoto;
1. Kuwa malaya ili wapate hela ya mchango.
2. Kuiba.
3. Kuunda magroup haramu.

Hivyo basi naomba serikali irudishe ada kwa nchi nzima ili shule zijitosheleze kimatumizi.

Ombi: Tuache siasa kwenye elimu. Kura tutakupa tu mama.
Tulinde elimu.
Alafu hiyo ada watatoa wapi?
Huna akili
 
Boss we jali mtoto wako peleka shule nzuri baasi.Hiyo mitanzania mingine sio ya kuhurumia kabisaa.
 
Ni kweli ada iliyozuiwa imerudi kwa jina la michango ya hiari ambayo wazazi wakiitwa shuleni na kamati ya shule si rahisi mzazi unyoshe mkono kuipinga kwani mwanao au wanao watasakamwa sana na walimu kwamba baba yao ni Mnoko.Kibaya zaidi inawezekana michango ni mikubwa kuliko ada ambayo serikali ingetoza.Mfano kuchangia gharama za mitihani ya kila week tsh 1500 kwa mwezi 6000 na kwa mwaka elfu 60 na zaidi.Je ada kwa mwaka ingefika huko?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom