Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Haya ndiyo madhara ya kuchaguliwa wabunge na jiwe. Tozo zipo juu,umeme ni wa mgao, gharama za maisha zipo juu,barabara ni mbovu. Hivi vyote hukuviona hadi unakuja na picha ya mama Samia...
19 Reactions
84 Replies
7K Views
Life expectancy Kwa Tanzania Sasa ni miaka 70 kutokana na kuimarika Kwa Huduma za jamii na kupungua Kwa ugonjwa wa Malaria ambao ndio ulikuwa unasababisha vifo vingi Kwa Watu hasa Watoto chini ya...
2 Reactions
8 Replies
545 Views
Shalomu Tanzania' Kwanza, itasaidia sana, pesa nyingi zilizoelekezwa kununua magari ya viongozi, bajeti yake ielekezwe kwenye maendeleo. Bajeti ya kunywesha mafuta magari hayo kwa mwaka mzima...
2 Reactions
10 Replies
769 Views
Hata Mandela alifungwa miaka 30 ila akawa Rais, kuna wengi waliokwisha fungwa kihuni uhuni ila baadaye wanakuwa wakubwa wa watesi wao,NB mwanadamu hana uwezo wa kuuwa hatima ya mtu. Binafsi kama...
9 Reactions
121 Replies
6K Views
You go to the hospital mama kijacho kapata uchungu you need to give bribe to buy nurses attention. You are peacefully driving and just ahead of you kunguru mweupe gives you a hand signal, My...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Serikali chini ya Rais Samia katika juhudi za kuwawezesha vijana kiuchumi inaendesha program maalum ya mafunzo ya ufugaji wa kisasa ikiwa ni pamoja na unenepeshaji kwa muda wa mwaka mmoja ambapo...
2 Reactions
3 Replies
544 Views
Kama wanavyopelekwa Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Watendaji wengine nashauri pia watu watakaotaka kugombea Urais baada ya majina yao kupitishwa na tume waende kozi ya NDC hata kwa wiki tatu. Hii...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakati umma ukiendelea kusubiri ripoti ya Kamati ya Mwakyembe baada ya muda iliopewa ile kamati hiyo kuchunguza nini kinachosababisha wanafunzi wa Shule ya Sheria Tanzania kufeli kwa kiwango cha...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Mbunge, Luhaga Mpina amesema bungeni kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Damas Ndumbaro amewasilisha taarifa ya uongo bungeni na kulisingizia Bunge kuwa lilipitisha Azimio la Bunge la kusamehe...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Jambo Jambo? Bunge letu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linalotawaliwa na wabunge wa CCM, huwa linanishangaza kiasi kwenye uchagiaji wa upitishajishwaji wa bajeti za wizara kadha wa kadha za...
1 Reactions
10 Replies
797 Views
Kumeanza kuibuka wimbi la utolewaji wa ripoti za fedha za miradi ambazo zimekuwa na mashaka makubwa sana na hasa zinaumiza walipa kodi, kuna harufu ya rushwa na ibadhirifu mkubwa tu tena kwa...
2 Reactions
3 Replies
765 Views
Hivi kama siasa ingekua ni Kwa ajili ya watu hivi Kuna haja ya kuwa na viongozi rundo sehemu Moja mfano. Wilayani Kuna mkurugenzi, mkuu wa wilaya, katibu tawala, Mwenyekiti wa halmashauri, wakuu...
0 Reactions
1 Replies
441 Views
JamboJambo? Kumekuwa na tabia inayokua au iliyoshamiri kwa muda sasa juu ya kusifia sifia inayofanywa na wenzetu wa habari. Huwa nakereka kuangalia baadhi ya jarida, ripoti au habari mbalimbali...
21 Reactions
48 Replies
3K Views
Ndugu zangu watanzania, Panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu, Rais wetu Samia atakapokuwa anastaafu na kumaliza muda wake wa kulitumikia Taifa letu mwaka 2030, kwa hakika atakumbukwa sana na...
9 Reactions
122 Replies
5K Views
Viongozi na Mameneja wa Wakala wa Barabara Tanzania TANROADS Wamepatiwa mafunzo ili kuwaongezea uwezo, kuwawezesha kutekeleza majukumu yao ipasavyo na kutimiza malengo ya Serikali ya awamu ya sita...
0 Reactions
1 Replies
811 Views
Nani asiyejua kilio cha watu kutoka nchi ya Zanzibar kuhusu kutozwa ushuru wakati wanaingiza bidhaa nchi ya Tanganyika? Vilio vyao vimekuwa vingi mara Sukari yetu imezuiwa, mara mafuta...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiukweli mh Mpina kila akisimama bungeni hanaga mambo ya kupoteza muda kwa maneno ya utani na masikhara kama akina Kibajaj, Yeye ni kumwaga pweinti tu Mungu wa mbinguni mbariki sana huyu mbunge...
1 Reactions
2 Replies
514 Views
Kwa mujibu wa takwimu mpya za Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), pato la Taifa la Tanzania limeongezeka hadi kufikia Dola za Marekani Bilioni $85.42 (Shilingi 200 trilioni za Tanzania) kwa mwaka...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nenda Afrika ya kusini waafrika wanataabika na kuteseka maana hawapo huru kiuchumi bali wapo huru kisiasa tu. Wana uhuru wa kuzurula na kuropoka tu. Uhuru wa kiuchumi hawana. Wengi ni masikini...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), limesema katika miaka miwili ya uongozi wa Rais Dk Samia Suluhu Hassan amewafanyia mengi wafanyakazi ikiwa ni pamoja na kuongeza mishahara...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom