Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna watu walifurahia kifo cha Rais wetu kipenzi Magufuli na kumsimanga. Ila kwa mema yake aliyolitendea Taifa watu wengi wanamtetea dhidi ya hao wabaya wake na wanajuta kwanini alifariki mapema...
5 Reactions
14 Replies
598 Views
Wewe ni mtu mnyenyekevu sana. Ndani na nje ya uongozi unaheshimu watu wote na unauzalendo wa kweli. Ni maombi yangu kwa mwenyezi Mungu akuinue zaidi uwe bora na mwenye kupendwa na watu wote...
2 Reactions
1 Replies
448 Views
Huwezi kuwa mwanasiasa au kiongozi serious unaitisha mkutano wa waandishi wa habari halafu unaanza kutishia una majina yako mfukoni ya watu mashuhuri sijui ya watu mafisadi, wanahujumu nchi...
8 Reactions
19 Replies
1K Views
by William Malecela on Saturday, May 14, 2011 Ni lazima tukubaliane kwanza kwamba watoto wa viongozi wa Tanzania ambao wengi wameanza kuingia kwenye siasa na kushika nafasi mbalimbali wana haki...
16 Reactions
386 Replies
35K Views
Lowassa aliingia CHADEMA saa mbili kamili Asubuhi, ilipofika saa mbili na dakika tano akawa mgombea Urais wa# CHADEMA..... ,Babu Duni aliingia chadema saa sita na saa sita na nusu alikua mgombea...
18 Reactions
412 Replies
51K Views
Wanazuoni wanasema akili ndogo haiwezi kutawala akili kubwa. Tundu Lissu aliwambia CCM kuwa kwa matendo ya ukatili ambao Magufuli anawatendea wapinzani hakuna aliye salama, na wakimalizana na...
19 Reactions
54 Replies
3K Views
- Freeman Haikaeli Mbowe au kama tunavyomuita mtaani "MCHAGGA" ni rafiki yangu wa karibu sana sana nimemfahamu toka utotoni na ndio maana mpaka leo ninamuheshimu sana kwani ni mmmoja wa Binadam...
14 Reactions
99 Replies
10K Views
KIFO CHA AKUKWETI,MIKAKATI YA LOWASSA,KARATA YA KIKWETE NA UTEUZI WA MEMBE. Habari za siku wasomaji wangu mnaofuatilia "series" yenye "episodes" zinazoelezea historia ya maisha ya kisiasa ya...
12 Reactions
21 Replies
6K Views
Wakuu tukirudi nyuma kidogo kwenye siasa za Bongo hapo nyuma kulikuwa na siasa za Weka chuma niweke Ugoko. Jambo moja ninalokumbuka huyu bwana anayeitwa Tundu Lissu alitambulika na kupata...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Siku moja nipo Mikocheni nikapigiwa simu na mtu mmoja anaongea kigogo, akaniambia sogea pembeni hapo kuna kelele, akaniuliza unajua unaongea na nani, nikasema mpaka hapa nishaelewa wewe ni Rais...
21 Reactions
76 Replies
7K Views
Samaleko Watanganyika! Leo nimeona nije na huu uzi kutokana na mambo yanayoendelea hapa nchini. Viongozi wanatuona kama Mazuzu kwa kutoa majibu mepesi mithili ya mshindo wa kwanza kwenye mambo...
0 Reactions
1 Replies
405 Views
Niko siti ya mbele karibuni walimu. Tahadhari, walimu wa ajira mpya itakayotolewa mapema mjihadhari na mkato ya 2% ya vyama vya wafanyakazi, lipeni 5,000 makato ya kila mwezi. KARIBUNI
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimesoma Rasimu ya Mitaala inayopendekezwa, kufuatia kile kinachoitwa mabadiliko ya mitaala ya Elimu nchini Nilichokiona katika mabadiliko hayo naweza kusema kuwa bado hakikidhi mahitaji ya...
11 Reactions
41 Replies
5K Views
Kada mkongwe wa CCM mzee Wassira amesema pamoja na ukweli kwamba Siasa za Tanzania ni za Unafiki lakini Membe hakuwa Mnafiki kabisa. Membe alisimamia alichoamini na hata wakati Ule alipopata...
8 Reactions
61 Replies
4K Views
Watanzania serikali imetoa rasimu ya sera ya elimu, ili kila mmoja wetu atoe maoni yake, sasa badala ya kuisoma tunakimbilia kutoa lawama lukuki. Hiyo ni rasimu imetolewa ili kila mmoja atoe...
1 Reactions
4 Replies
738 Views
Ukizitizama na kama umefuatilia hotuba za wanasiasa hawa utajua tu kuwa ilikuwa ni siasa wala sio unga wala mafuta kubwa na bei juu. Wote wameonesha kama walikuwa wanakutana usiku vile mchana...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakati mwingine ni vema kujifunza kwa kuangalia tulijikwaa wapi na siyo tuliangukia wapi Kama tungelipata Katiba ile ya Rasimu ya Warioba haya yanayotuhuzunisha leo na kuwafanya wengine...
2 Reactions
4 Replies
369 Views
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhes. Samia Suluhu Hassan amemuagiza Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mutungi, kuitisha kikao maalum cha Baraza la Vyama vya Siasa. Lengo ni...
13 Reactions
71 Replies
6K Views
MCHAKATO WA KATIBA MPYA KUTENGEWA FUNGU KWENYE BAJETI YA 2023/ 2024 Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa mchakato wa Katiba Mpya pamoja na maboresho ya sheria ya vyama vya...
7 Reactions
69 Replies
5K Views
Na Bwanku M Bwanku. Ndicho unachoweza kusema na hii ni baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi Mei 06, 2023 kuongoza kikao cha Viongozi mbalimbali...
0 Reactions
1 Replies
732 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…