Na Mwandishi Wetu,
Dar es Salaam "Nilisikia Rais Samia anapita Nyakanazi na mimi kwetu ni pale pale Nyakanazi. Wazazi walinikataza, wewe usiende na hali hiyo uliyokua nayo watu wanakukimbia...
Kwa muda sasa mji Mkuu wa Sudan, Kahrtoum umegeuka uwanja wa vita ukishuhudi mapigano makali ya kati ya jeshi la nchi hiyo na wanamgambo nchini humo ambapo miundombinu imeharibiwa kwa kiasi...
Atateuliwa na Chama chake,na atachaguliwa na wananchi. Kwa hiyo,kama political analysis,we can safely say Samia Suluhu atakuwa rais mpaka 2030.
Kwa sababu huyu ni rais amefanya vizuri,better than...
Waziri wa Nishati January Makamba amesema ameridhishwa na kasi ya Ujaaji maji kwenye Bwawa la Nyerere ambapo Lita bilioni 6 zimeshaingia na zimebaki mita 13 tu maji yaweze kuzungusha Mitambo...
Akiongea katika viwanja vya Ikulu,Jaji Amiri Manento amekiri jambo gumu ambola Tume ya Haki za binadamu na utawala bora imesimamia kwa nguvu ni sakata la kifo cha Mwangosi.
Na amekiri serikali...
Aliyekuwa Katibu mkuu wa CHADEMA na Balozi wa Tanzania nchini Sweden Dr. Slaa amesema Siasa na Utumishi wa Umma ni vitu viwili tofauti.
Dr. Slaa amesema watu wengi hawajui hili ndio sababu...
Mwandishi wa Habari nguli mh Atiki amesema siyo kweli kwamba Watanganyika wamezuiwa kununua ardhi Zanzibar au kuajiriwa SMZ
SMZ kuna Watanganyika wengi tu Wameajiriwa pale ila kwa sababu wako...
Nilitarajia kuona kila mtanzania amekasirika na kuonyesha hisia zake hasaa kwenye mambo yafuatayo;
Ufisadi
Kwanini kuwachekelea waliopewa mamlaka kusimamia haki za wananchi pamoja na kulinda...
Serikali imeokoa Tsh. trilioni 7.57 kwa kumaliza kwa njia mbadala ikiwemo usuluhishi, majadiliano na maridhiano katika kipindi cha kuanzia Julai mwaka jana (2022) hadi mwezi uliopita Machi 2023...
Najiuliza juu ya viongozi wanaolaumiwa kwa ukatili na mateso kwa raia. Viongozi kama Iddi Amin , Jean Bokasa na wengine wengi wanalaumiwa.
Lakini kiuhalisia Je yupo ambaye hajawahi kufanya ukatili?
Haya ndiyo madhara ya kuchaguliwa wabunge na jiwe.
Tozo zipo juu,umeme ni wa mgao, gharama za maisha zipo juu,barabara ni mbovu.
Hivi vyote hukuviona hadi unakuja na picha ya mama Samia...
Life expectancy Kwa Tanzania Sasa ni miaka 70 kutokana na kuimarika Kwa Huduma za jamii na kupungua Kwa ugonjwa wa Malaria ambao ndio ulikuwa unasababisha vifo vingi Kwa Watu hasa Watoto chini ya...
Shalomu Tanzania'
Kwanza, itasaidia sana, pesa nyingi zilizoelekezwa kununua magari ya viongozi, bajeti yake ielekezwe kwenye maendeleo.
Bajeti ya kunywesha mafuta magari hayo kwa mwaka mzima...
Hata Mandela alifungwa miaka 30 ila akawa Rais, kuna wengi waliokwisha fungwa kihuni uhuni ila baadaye wanakuwa wakubwa wa watesi wao,NB mwanadamu hana uwezo wa kuuwa hatima ya mtu.
Binafsi kama...
You go to the hospital mama kijacho kapata uchungu you need to give bribe to buy nurses attention.
You are peacefully driving and just ahead of you kunguru mweupe gives you a hand signal, My...
Serikali chini ya Rais Samia katika juhudi za kuwawezesha vijana kiuchumi inaendesha program maalum ya mafunzo ya ufugaji wa kisasa ikiwa ni pamoja na unenepeshaji kwa muda wa mwaka mmoja ambapo...
Kama wanavyopelekwa Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Watendaji wengine nashauri pia watu watakaotaka kugombea Urais baada ya majina yao kupitishwa na tume waende kozi ya NDC hata kwa wiki tatu.
Hii...
Wakati umma ukiendelea kusubiri ripoti ya Kamati ya Mwakyembe baada ya muda iliopewa ile kamati hiyo kuchunguza nini kinachosababisha wanafunzi wa Shule ya Sheria Tanzania kufeli kwa kiwango cha...
Mbunge, Luhaga Mpina amesema bungeni kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Damas Ndumbaro amewasilisha taarifa ya uongo bungeni na kulisingizia Bunge kuwa lilipitisha Azimio la Bunge la kusamehe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.