Katiba mpya inakuja Tanzania

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
325
414
Na Bwanku M Bwanku.

Ndicho unachoweza kusema na hii ni baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi Mei 06, 2023 kuongoza kikao cha Viongozi mbalimbali wa Serikali kinachohusu kuanza kwa Mchakato wa Katiba mpya, kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma (Kwa mujibu wa Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu).

Itakumbukwa, Tanzania ilianza mchakato wa Katiba mpya mwaka 2014 chini ya Rais wa awamu ya 4 wa kipindi hicho Dkt. Jakaya Kikwete ambapo hata hivyo mchakato huo wa Katiba mpya ulikwama baadae ukiwa kwenye hatua ya rasimu.

FB_IMG_1683399097916.jpg
FB_IMG_1683398602087.jpg
FB_IMG_1683398599672.jpg
FB_IMG_1683398592652.jpg
FB_IMG_1683398595825.jpg
FB_IMG_1683398597706.jpg
 
Vile "Mama" anawasisitizia CCM kuwa katiba mpya ni lazima na ni sasa👇😁😁😁
 
Back
Top Bottom